Nimemsikia mh. Livingstone akihojiwa akasema anashangaa mama ntilie kuwa na laini nne wakati yeye ni mbunge na ana laini moja, akasema tuishi kulingana na kipato, je kwa kauli hiyo amezingatia maisha halisi ya mtanzania?
Mh. Lusinde, kuwa na laini nne, si kuongeza matumizi! wanaofanya hivyo...