Zitto tena kachafua hali ya hewa bungeni

Haters are out..........mtajisema tu. It is a HATE that guide you
siwezi kukuficha kuwa nafurahishwa na wewe.
acha utani wa kitoto we unadhani wote wamejua wewe unatania?

Kama umechoka kuchangia si unakaa chini tu! Kama ulikuwa utani unajitetea nini?
 
Jamani, tuweni makini katika michango ya mawazo yetu hapa jamvini, na wala tusikubali kutawaliwa na itikadi au jambo lingine linalofanana na hilo!, Zitto, alikuwa anatania na muda mwingi walikuwa wakibadilishana mawazo na huyo Lissu hata kabla ya kuchangia. Na baada tu ya kusema maneno kuwa mwandiko wa Lissu ulikuwa mbaya, Lissu ndiye aliyeanza kutabasamu na baadaye alipokuja kuketi wakawa wanacheka pale. Kwa maneno mengine, hakuna hali ya hewa iliyochafuka pale, na hayo mawazo ya kwamba kuna mgawanyiko ndani ya chama chao yawezekana ni fikra tu.
 
Tatizo la Zito ashauriki na ndio tatizo. Mwisho wa mwanasiasa kuwa mwanasiasa mzuri ni pale asiposhaurika, kujiona ni bora kuliko wenzake na kuwa "BIG HEADED" Ni masikitiko makubwa kwamba Zito hivisasa ame adapt hizo tabia, kupiga hatua kubwa zaidi ya hapo alipofika itakuwa ngumu hawezi tena kwenda mbali zaidi ya Kigoma. Hauziki amepoteza imani kwa Watanzania wengi sana. Aangalie tu mwenendo wake asije akapoteza hata Imani ya kuchaguliwa kuwa Mbunge tena kwa Kigoma.
Watu kila mara wanajiuliza kwa nini kila siku, kila mara, kila mahala ni Zitto, Zitto, Zitto hadi inatia kichefuchefu
Ukweli ni kwamba ni yeye anapenda iwe hivyo kwa kuwa hajakamilisha kazi aliyotumwa. Mpaka pale itakapokamilika, tutaendelea kusikia vitimbwi na show mbalimbali za huyu kijana.

Akihitimisha mchango wako Bungeni, Zitto kasema, “ nilipewa mchango na Tundu Rissu lakini mwandiko wake ni mbaya sana kwa hiyo nimeshindwa kuusoma”. Tujiulize:

1. Je, kweli kulikuwa na ulazima wa yeye kutamka au kutoa taarifa hiyo Bungeni? Faida yake ni nini maana haiongezi chochote (katika mchango wake) wala hawezi kuwahi nafasi kwamba pengine Rissu akirudi basi akute nafasi aliyo ‘bukiwa’ na mwenzake.

2. Hata kama ilikuwa lazima aseme, Je, ilikuwa lazima atamke sababu na kuchagua maneno ‘mwandiko mbaya sana?' angalia kuna kivumishi ‘sana’ kama vile ‘mbaya’ haingetosha!

Si kwamba Zitto ni mzito wa kuelewa, la hasha, anafanya makusudi akijua kuwa mambo kama haya ya kuwadhalilisha wenzake yanaweza kuleta vurugu ndani ya chama na hivyo kukisambaratisha.

Amenihudhi sana, kama si kweli yanayosemwa juu yake, kwa nini asingekaa tu na kutulia kisha aje amweleze Rissu sababu iliyofanya asiwasilishe ujumbe wake. Au kama kwa hekima yake ambayo inashangaza bado aliona ni lazima kutoa taarifa hiyo ya makabidhiano ambayo Wabunge wengine hawahusiki na wala haiongezi chochote cha maana kwenye hansad ,kwa nini asingesema tu kuwa ‘nilipewa mchango na Mbunge mwenzetu lakini kwa bahati mbaya nimeshindwa kuusoma’ .

Kweli sasa tunaaamini, kazi ya double agency ni ya kipuuzi sana maana ni ya kutekeleza kile usichoamini na kuamini kile usichotekeleza! Zitto hawezi kuaminika tena katika jamii ya wasema kweli.
 
timing timing timing.....ZZK should have known better kuwa ktk kipindi hiki ambacho ana tuhuma zs mlungula anahtaji xana kuchunga kile akisemacho.kwani watu watatengeneza circumstantial evidenve kwa kuunga dots.
 
Hivi huyu zitto mbona kawa hivi?yaani huyu anawapingaga sana wabunge wa chadema na anawasapoti wa magamba. Mimi naona zitto kwa sasa hastahili kuwa chadema kwanzia sasa.
 
Inatisha.

Kama kweli kafanya hivyo, sidhani ni kwa nia ya utani, basi nadhani tunaweza kuwa tunaona mwanzo wa mwisho wa mwanasiasa kijana aliyetia matumaini lakini nyota yake ikazimika kwa sababu za kuepukika.

Nimetoka tu kuchangia ule uzi alikotoa press release, nikashauri huyu kijana ni vizuri na busara ange-retreat. Ile release inazaa maswali mengine mengi tu. Punde nakuja huku nako kesharopoka tena.

Apparently, I cannot understand why he's shooting his own leg here.
 
Nashukuru kuona na wewe umesikia hivyo ndugu. Maana kuna uzi nilianzisha watu wakanitukana kweli kweli na kuomba nipigwe ban. Mpaka nikahisi nilikuwa nasikiza mzimu au!!. na uzi ukafutwa!. Sijui kama na huu utakuwa na muda mrefu. Sidhani kama hapa kuna suala la Ugamba au Ugwanda. ndivyo alivyosema. Kama mtu utapigwa ban kwa kuandika ukweli humu JF basi sina haja ya kuwa member tena hapa JF.

Mods chunguzeni kama inawezekana mwenye thread hii sio ndio yule yule wa kwanza!!!
 
Watu kila mara wanajiuliza kwa nini kila siku, kila mara, kila mahala ni Zitto, Zitto, Zitto hadi inatia kichefuchefu
Ukweli ni kwamba ni yeye anapenda iwe hivyo kwa kuwa hajakamilisha kazi aliyotumwa. Mpaka pale itakapokamilika, tutaendelea kusikia vitimbwi na show mbalimbali za huyu kijana.

Akihitimisha mchango wako Bungeni, Zitto kasema, " nilipewa mchango na Tundu Rissu lakini mwandiko wake ni mbaya sana kwa hiyo nimeshindwa kuusoma". Tujiulize:

1. Je, kweli kulikuwa na ulazima wa yeye kutamka au kutoa taarifa hiyo Bungeni? Faida yake ni nini maana haiongezi chochote (katika mchango wake) wala hawezi kuwahi nafasi kwamba pengine Rissu akirudi basi akute nafasi aliyo ‘bukiwa' na mwenzake.

2. Hata kama ilikuwa lazima aseme, Je, ilikuwa lazima atamke sababu na kuchagua maneno 'mwandiko mbaya sana?' angalia kuna kivumishi ‘sana' kama vile ‘mbaya' haingetosha!

Si kwamba Zitto ni mzito wa kuelewa, la hasha, anafanya makusudi akijua kuwa mambo kama haya ya kuwadhalilisha wenzake yanaweza kuleta vurugu ndani ya chama na hivyo kukisambaratisha.

Amenihudhi sana, kama si kweli yanayosemwa juu yake, kwa nini asingekaa tu na kutulia kisha aje amweleze Rissu sababu iliyofanya asiwasilishe ujumbe wake. Au kama kwa hekima yake ambayo inashangaza bado aliona ni lazima kutoa taarifa hiyo ya makabidhiano ambayo Wabunge wengine hawahusiki na wala haiongezi chochote cha maana kwenye hansad ,kwa nini asingesema tu kuwa ‘nilipewa mchango na Mbunge mwenzetu lakini kwa bahati mbaya nimeshindwa kuusoma' .

Kweli sasa tunaaamini, kazi ya double agency ni ya kipuuzi sana maana ni ya kutekeleza kile usichoamini na kuamini kile usichotekeleza! Zitto hawezi kuaminika tena katika jamii ya wasema kweli.
ZZK akiwajibu baadhi ya followers wake kuhusu hii kauli yeye anasema ni utani bungeni..
Zitto Zuberi Kabwe ‏@zittokabwe "@LiberateTnzania: na ile kitu nimeona JF ati umesema mwandiko wa Mh. Tundu Lisu ni mbaya hausomeki, ulikuwa unamaanisha au?" jokes Bungeni

Expand

Zitto Zuberi Kabwe ‏@zittokabwe "@JohanesEdson: @zittokabwe ni kweli mwandiko wa tundu lissu ni mbaya au ulikuwa unatania? ndio mara yakwanza kusoma mwandiko wake?" utani
 
Watu kila mara wanajiuliza kwa nini kila siku, kila mara, kila mahala ni Zitto, Zitto, Zitto hadi inatia kichefuchefu
Ukweli ni kwamba ni yeye anapenda iwe hivyo kwa kuwa hajakamilisha kazi aliyotumwa. Mpaka pale itakapokamilika, tutaendelea kusikia vitimbwi na show mbalimbali za huyu kijana.

Akihitimisha mchango wako Bungeni, Zitto kasema, “ nilipewa mchango na Tundu Rissu lakini mwandiko wake ni mbaya sana kwa hiyo nimeshindwa kuusoma”. Tujiulize:

1. Je, kweli kulikuwa na ulazima wa yeye kutamka au kutoa taarifa hiyo Bungeni? Faida yake ni nini maana haiongezi chochote (katika mchango wake) wala hawezi kuwahi nafasi kwamba pengine Rissu akirudi basi akute nafasi aliyo ‘bukiwa’ na mwenzake.

2. Hata kama ilikuwa lazima aseme, Je, ilikuwa lazima atamke sababu na kuchagua maneno ‘mwandiko mbaya sana?' angalia kuna kivumishi ‘sana’ kama vile ‘mbaya’ haingetosha!

Si kwamba Zitto ni mzito wa kuelewa, la hasha, anafanya makusudi akijua kuwa mambo kama haya ya kuwadhalilisha wenzake yanaweza kuleta vurugu ndani ya chama na hivyo kukisambaratisha.

Amenihudhi sana, kama si kweli yanayosemwa juu yake, kwa nini asingekaa tu na kutulia kisha aje amweleze Rissu sababu iliyofanya asiwasilishe ujumbe wake. Au kama kwa hekima yake ambayo inashangaza bado aliona ni lazima kutoa taarifa hiyo ya makabidhiano ambayo Wabunge wengine hawahusiki na wala haiongezi chochote cha maana kwenye hansad ,kwa nini asingesema tu kuwa ‘nilipewa mchango na Mbunge mwenzetu lakini kwa bahati mbaya nimeshindwa kuusoma’ .

Kweli sasa tunaaamini, kazi ya double agency ni ya kipuuzi sana maana ni ya kutekeleza kile usichoamini na kuamini kile usichotekeleza! Zitto hawezi kuaminika tena katika jamii ya wasema kweli.

Mmh Tuhuma nzito, ila hebu tujipe muda maana siku hazigandi na punde ukweli wote utakuwa hadharani.
 
wengi humu hamjajua lengo la huo mchezo(jokes) alioufanya zitto humo bungen na kwa nini ameutoa...
 
hakuna DHAMBI mbaya duniani kama ya USALITI ambayo ZITTO kwa sasa ninamtesa.
Shame on you!
 
Watu kila mara wanajiuliza kwa nini kila siku, kila mara, kila mahala ni Zitto, Zitto, Zitto hadi inatia kichefuchefu
Ukweli ni kwamba ni yeye anapenda iwe hivyo kwa kuwa hajakamilisha kazi aliyotumwa. Mpaka pale itakapokamilika, tutaendelea kusikia vitimbwi na show mbalimbali za huyu kijana.

Akihitimisha mchango wako Bungeni, Zitto kasema, “ nilipewa mchango na Tundu Rissu lakini mwandiko wake ni mbaya sana kwa hiyo nimeshindwa kuusoma”. Tujiulize:

1. Je, kweli kulikuwa na ulazima wa yeye kutamka au kutoa taarifa hiyo Bungeni? Faida yake ni nini maana haiongezi chochote (katika mchango wake) wala hawezi kuwahi nafasi kwamba pengine Rissu akirudi basi akute nafasi aliyo ‘bukiwa’ na mwenzake.

2. Hata kama ilikuwa lazima aseme, Je, ilikuwa lazima atamke sababu na kuchagua maneno ‘mwandiko mbaya sana?' angalia kuna kivumishi ‘sana’ kama vile ‘mbaya’ haingetosha!

Si kwamba Zitto ni mzito wa kuelewa, la hasha, anafanya makusudi akijua kuwa mambo kama haya ya kuwadhalilisha wenzake yanaweza kuleta vurugu ndani ya chama na hivyo kukisambaratisha.

Amenihudhi sana, kama si kweli yanayosemwa juu yake, kwa nini asingekaa tu na kutulia kisha aje amweleze Rissu sababu iliyofanya asiwasilishe ujumbe wake. Au kama kwa hekima yake ambayo inashangaza bado aliona ni lazima kutoa taarifa hiyo ya makabidhiano ambayo Wabunge wengine hawahusiki na wala haiongezi chochote cha maana kwenye hansad ,kwa nini asingesema tu kuwa ‘nilipewa mchango na Mbunge mwenzetu lakini kwa bahati mbaya nimeshindwa kuusoma’ .

Kweli sasa tunaaamini, kazi ya double agency ni ya kipuuzi sana maana ni ya kutekeleza kile usichoamini na kuamini kile usichotekeleza! Zitto hawezi kuaminika tena katika jamii ya wasema kweli.

tatizo la ujana kupata fedha ya ufisadi unakuwa jeuri.Umri huo kuwa na milions of money, vijan wengi huwa wajeuri
 
Back
Top Bottom