Kuna mwamba alikiwa ananikopesha sana kipindi niko juu ya mawe, nikawa namrudishia kwa wakati,
Siku zikaenda akapata changamoto nikamkopesha yeye, hakuwahi kunilipa, na tunachat kama kawaida wala haongelei suala la kunilipa, akaja kupata changamoto ya pesa, akanicheki huku anajihami "ooh najua...