Moneytwister
JF-Expert Member
- Jul 22, 2022
- 316
- 1,032
Nomba mnisaidie kwa anaejua viwango vya mshahara afisa mtendaji mtaa daraja la tatu baada ya mama kuongeza mshahara
😂😂😅😅duuh apo baada ya nyongeza mwanzo walikua wanafanya kazi bure nini?245,500/-
Ndio kupitia wino wa muhuriMeo = Mtaa executive officer. Hiki cheo kinatambulika serikalini ?
Kabla ya mshahara kupanda mshahara wa mtendaji wa mtaa daraja la III ulikuwa 450,000 kabla ya makato, baada ya makato ulikuwa 393,000Nomba mnisaidie kwa anaejua viwango vya mshahara afisa mtendaji mtaa daraja la tatu baada ya mama kuongeza mshahara
Ndio ni ngazi ya chini ya uafisa kwenye ngazi za maofisa kwenye Halmashauri.Meo = Mtaa executive officer. Hiki cheo kinatambulika serikalini ?
Hii ndiyo ngazi ya mwanzo/chini kabisa ya utendaji serikalini. Mtaani/Vijijini tunawajua zaidi Wenyeviti wa Mitaa/Vijiji ambao ni viongozi wa kisiasa wanaochaguliwa na wananchi. Lakini waajiriwa wa serikali ni Watendaji wa Mitaa/Vijiji.Meo = Mtaa executive officer. Hiki cheo kinatambulika serikalini ?
Swali langu ulilielewa ?Hii ndiyo ngazi ya mwanzo/chini kabisa ya utendaji serikalini. Mtaani/Vijijini tunawajua zaidi Wenyeviti wa Mitaa/Vijiji ambao ni viongozi wa kisiasa wanaochaguliwa na wananchi. Lakini waajiriwa wa serikali ni Watendaji wa Mitaa/Vijiji.
Sawa.Ndio ni ngazi ya chini ya uafisa kwenye ngazi za maofisa kwenye Halmashauri.
Huyo ndiye mtendaji mkuu kwenye ofisi ya mwenyekiti wa mtaa mijini, kwenye vijiji wanaitwa village executive officer.
Mshahara wao upo kwenye scale ya TGS A
Kuna jamaa yangu alianzia ngazi hiyo akajiendeleza sasahivi ni afisa utumishi kwenye halmashauri
Una sample ya huo mhuri wenye cheo cha Mtaa Executive Officer ?Ndio kupitia wino wa muhuri