Recent content by EdwardC8

  1. E

    Kulia kwa Wanawake wengi wanaoolewa siku ya Ndoa / Harusi huwa kuna maana gani?

    Zinamaanisha anaawaacha wahongaji orijino..sasa anaenda kutoa mzigo 24/7 haijalishi kapewa chochote au laa. ova
  2. E

    Kwanini vigogo wengi wanasiasa waliokuwa JF hatuwaoni tena?

    Wameitumia wakasepa..kama ccm wanavyofanyaga
  3. E

    Rais Magufuli afanya mazungumzo na Waziri wa Ulinzi wa Israeli, ashauri iwepo ndege ya kutoka JNIA, KIA hadi Israel

    ni mkakati...wamewahi mapema kabla ya tarehe 26 ili wafanye zoezi eneo hilo, walijue vizuri.
  4. E

    Natamani kuona Polisi wakienda kulinda amani mataifa ya nje (Peacekeeping)

    bila shaka na wewe hukuhudhuria yale mazishi pale lugalo, ya kuaga miil 14 ya askari waliouawa congo
  5. E

    Mnaotembea na mabinti chini ya umri wa miaka 25 huwa mnafaidi nini?

    usisahau pia kutembea na wallet. sio watu wazuri hao utaadhirika
  6. E

    Viongozi 4 wa CHADEMA watinga Polisi, Heche na Mnyika washikiliwa, Mdee na Matiko wanasakwa. Waachiwa kwa dhamana

    mimi akili kubwa nimegundua kitu: polisi/serikali inataka kuwalazimisha chadema watoe tamko kwamba maandamano ya kada orijino Dr. Pro. Ms. Kimambi waliandaa wao na hivyo wameahirisha kwasababu nchi sasa ina aman Ila tarehe 26 ndo hiyoooo ina count down na maandamano hayo ya amani hayaongozwi na...
  7. E

    Tetesi: Prof. Lipumba na wafuasi wake wakesha wakiomba radhi kwa Maalim Seif na viongozi wengine

    kama yule wa kinondoni mbunge, imagine polisi anabeba sanduku then anarudisha hahaha...naskia saivi yupo kijini kwao kwenye mimoshi ya majungu domo likae sawa, amezungukwa na mibabu inaimba nyimbo za kale hahaha...hapo wazanzibari nimewakubali
  8. E

    Je kuna tofauti ya Kiujuzi kati ya Mabodigadi wa PSU na hawa tunaowaona wakiwalinda Viongozi wa dini?

    mimi kinachonishangazaga ni kwamba Cv zao, au ile Portfolio...hata ugoogle vp, humuoni popote, sio mitandaoni a kwa watu aliyosma nao....kweli hata ndugu wasidokeze kwenye magroup ya whatsapp? au walizaliwa na kukulia ikulu...wao wanachojua ni kulinda tu rais na viongozi!??
  9. E

    Ninaumwa wana JF wezangu maombi yenu tafadhali nisije kata moto

    acha kulialia mtoto wa kiume...unaumwa huku umeshika smartphone eee? kuumwa kidigitali hahaha
  10. E

    Haya ndiyo ya kufanya kama una uso wenye mafuta

    mmmh mimi nina wasiwasi... mwanaume unatoa elimu ya kujipaka mafuta...!!!
Back
Top Bottom