candiasis
JF-Expert Member
- Dec 29, 2017
- 372
- 437
Ki utaratibu sio majukumu ya MP.MP anapaswa kuomba kwa trafki ili amsaidie kusimamisha magari na huwa wanafanya hvyo katika msafara wa kiongozi wao tuHata traffic akiwa barabarani, then msafara wa kijeshi unapita, utaona kuna MP atakwenda kufanya kazi ya kuongoza magari, wakati huo traffic amewekwa pembeni baada ya msafara kupita mp huondoka na kumwacha traffic aendelee na kazi yake,
Misara yote huwa ni polisi ndio wanao ongoza