Msaada wa kutengeneza beat kwa kutumia FL studio

Mm ni mlevi na muhanga wa fl kiasi ambacho ilibidi niuze pc zote maana hakuna kazi utaifanya zaidi ya fl ina kula mda kuliko video games
Ahahaha hata mimi ilibidi niache, naweza maliza siku nzima kwenye mashine nisitoke hata nje
 
Mimi naweza Sana Ku flow but cjawai kuandika verse nzima..hah nilikua nawaandikia wana hooks Tu,mistari minne nakausha..now namie kma metroboomin ctaki ujinga...
Cheki hio link juu hapo utakutana na trap zangu kadhaa. Nilikuw na upepo sana kipindi trap imekamata 2k12 kina Lex Lugar, Sizzle southside, TM.88, Drumma boy na Waka Flocka flame.
 
haha simu za baby hupokei,unapitiliza muda WA Kula..
Ahahaha hata mimi ilibidi niache, naweza maliza siku nzima kwenye mashine nisitoke hata nje
Mimi naweza Sana Ku flow but cjawai kuandika verse nzima..hah nilikua nawaandikia wana hooks Tu,mistari minne nakausha..now namie kma metroboomin ctaki ujinga...
Beat boxing ni hatari sana! Nilikua na save kila nikigundua kitu kipya mzozo ulianza nilipo anza kupata plugins na kuna jamaa akanielekeza ku_download na ku sample yule ndio alikua ibilisi wa kunipotezea muda, unaanza asubuhi mpaka asubuhi nyingine, huli, simu hupokei, hujibu txt sijui hao ma producer wanawacliana vp na wateja wato kifupi ni very addictive than video games. Ila kwa bahati mbaya beats za huyu ndugu nime zickliza kwa headphones aisee, awe ana sikilizisha majirani kwanza ndio azipost au ndio addiction hata kutoka nje hatoki kuwasikilizisha
 
Nawakumbuka jamaa zangu kina Ray Technohama,Pro Sevento,Para,Lindu na Duke.Pia bila kumsahau kaka mkubwa Chief Ramso/Zavara katika Sampling art..........Muziki wa mavyombovyombo kuna mchizi mmoja anayeitwa Innocent Mujwahuki aka Kanye huyo jamaa ni balaa katika kuchezea bawa la shetani aka piano.Kama unataka kuijua FL watafute hao jamaa maana ma pro wengine hawana Time na chipukizi.
 
Cheki hio link juu hapo utakutana na trap zangu kadhaa. Nilikuw na upepo sana kipindi trap imekamata 2k12 kina Lex Lugar, Sizzle southside, TM.88, Drumma boy na Waka Flocka flame.
nimesikiza beats kali sanaaaa Upo vizuri,tatizo lako lile lile ambalo my producer wengi wa bongo wanalo..kuna beat nimeiskiza kama copy and paste ya Ngoma ya Roscoe Dash na waka wocka flame..inaitwa no hands..kama producer huwezi kutengeneza sounds zako mwenyewe..huwezi kuleta kitu kipya coz soundkits maarufu Kila mtu Ana download..tujifunze kua Mafundi ,na kutumia effects plugins..sio synth plugins..me nimekaa nchi za watu miaka mitatu kujifunza mambo hayo..sio bado Sana Kuna vitu vya msingi hatujifunzi...badae ntarudi kuelezea mengi..PEACE..
 
Beat boxing ni hatari sana! Nilikua na save kila nikigundua kitu kipya mzozo ulianza nilipo anza kupata plugins na kuna jamaa akanielekeza ku_download na ku sample yule ndio alikua ibilisi wa kunipotezea muda, unaanza asubuhi mpaka asubuhi nyingine, huli, simu hupokei, hujibu txt sijui hao ma producer wanawacliana vp na wateja wato kifupi ni very addictive than video games. Ila kwa bahati mbaya beats za huyu ndugu nime zickliza kwa headphones aisee, awe ana sikilizisha majirani kwanza ndio azipost au ndio addiction hata kutoka nje hatoki kuwasikilizisha
hhahha anajifunza
 
nimesikiza beats kali sanaaaa Upo vizuri,tatizo lako lile lile ambalo my producer wengi wa bongo wanalo..kuna beat nimeiskiza kama copy and paste ya Ngoma ya Roscoe Dash na waka wocka flame..inaitwa no hands..kama producer huwezi kutengeneza sounds zako mwenyewe..huwezi kuleta kitu kipya coz soundkits maarufu Kila mtu Ana download..tujifunze kua Mafundi ,na kutumia effects plugins..sio synth plugins..me nimekaa nchi za watu miaka mitatu kujifunza mambo hayo..sio bado Sana Kuna vitu vya msingi hatujifunzi...badae ntarudi kuelezea mengi..PEACE..
Yeah nilitumia kit ya 8.0.8 Mafia na effect zingine
 
dahh me nilianza serious form 1 mwaka 2005,nilikua natumia hip-hop ejay..nilikua na computer but processor ilikua ndogo,haiwezi Ku install FL 5..hah..staki kukumbuka

Off topic kuna uzi nilikuwa naupitia mida hapa nikaona mzee baba unasema upo dar es salaam toka 1961 uku umeanza form 1 2005
 
j Cole kazingua,jamaa WA kawaida mno..Dar Kuna wana zaidi ya 30 wana spit vitu Cozz anangoja..hah

Aiseeeeee huyo dogo ninavyomuelewa a a a a a signing bora ya cole ile ktk watu wake wote Bas, omen na wengineo..
 
Back
Top Bottom