Hapa inaitajika I'd yako tuipeleke kwa gwajima uombewe uwe muelewa maana umeshaambiwa wabongo sie hatutaki kama wewe una misuli ya kuuza ulaya bas ungana nao maana naona biashara za kupeleka shanga ulaya siku hizi zimekua nazo za kwenda kushindanisha na makampuni ya simu, magari nk hata viwanda...
Chalii itabidi ujue hiphop haizaliwi tena ila kwa sasa inakua.hiphop nikiwa na maana ya misingi na misingi IPO haiwezi zaliwa tena ila utajiri unaweza zaliwa na mzaaji mwenyewe ni wewe sasa basi ukitaka uendelee kufuata misingi lazima ujue wewe unahitaji ukatae utajiri Wa fas na ili usiwe...
Hilo n jibu sahihi lakini kwa amana bank vission sio sawa kwani interest yoyote ambayo hujaifanyia kazi wewe n kosa sasa hapo inakujaje tena suala la kufix pesa kwenye hzo akaunt halafu ikawa sahihi kupata interest?
Unaongelea maendeleo ukiwa mjini Tanzania sio ubungo kaka kuna namtumbo, kuna katesh kuna bariadi ...... Usiongelee masuala yenye faida tu katika uchumi mkubwa ongelea na uchumi mdogo, kwa nn unga ipande kilo,mchele pia Umeme maji mahosipitali shule bure lakini bado watu wanashindwa kuwapeleka...
Kaka hata huko kuna dhuluma, dhuluma haipo pale/sehemu tu ambapo hakuna kutoa wala kupokea yaani wote muwe MNA chukua viwango sawa muwe na uwezo sawa, elimu sawa, nk Huduma hizo sasa mtapata bila ya dhuluma.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.