Natafuta temporal job

maitha

Member
Mar 16, 2017
19
14
Mm ni msichana miaka 22 elimuyangu ni kidato cha sita napatikana dar es salaam natafuta kaz ila ninauzoefu wa usafi maofisin na hotel
 
Tatizo hujaainisha uko wapi , na unataka kazi gani , be specific....huwezi fanya kila kazi....otherwise utauza down........
Nipo dar es salaam af nimesema kaz iliyo halal ila naamin isiwe ya ndan au shambani
 
kwa jinsi ulivyoandika tayari ushakosa kazi.. pili unaposema kazi halali ila sio ya ndani wa shambani pia ushakosa kazi inaonekana bado hujakomaa kiakili... ukiachiwa milion kumi unachanganyikiwa wewe!!!!
Kila maamuz ya mtuu yanamaana fulan kwakwe so usitake nifanye vile ww unawaza haujui maana halis kwangu pia uhuru wa kuwaza nakupa niwazie vyvyte upendavyo
 
Jaman kaz iliyo alali najua mmelewa sema mnakaza ubongo
Kwa ushauri tuu..

Walau ungesema nipo (unataja sehemu unakopatikana), nimemalza kidato cha sita. Ninaujuzi au uwezo wa kufanya hiki na hiki (unataja walau kazi mbili tatu ambazo unaweza kufanya bila wasiwasi).

Anaweza kutokea mtu lakini akashindwa akupe kazi gani. Usimfanye mwajiri wako mtarajiwa aanze kupiga ramli kwamba ni kazi gani akupe.
 
Kila maamuz ya mtuu yanamaana fulan kwakwe so usitake nifanye vile ww unawaza haujui maana halis kwangu pia uhuru wa kuwaza nakupa niwazie vyvyte upendavyo
Mdada ashamaind huku, msimuudhi dada jamani mpeni kazi anayotaka
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom