Nadhani alimaanisha Kaka wa Raila (Oburu) ambae alikua ICU. Kashindwa kuhudhuria hata hafla ya kuzindua Jumba (Mausoleum) la Makumbusho ya Raila huko kwao.
Nimeona kampuni kadhaa zinatoa huduma ya kuagiza Magari used nje ya nchi. Ipi ni Bora kwa uaminifu ,huduma na ufanisi wa kutuma pesa, Kati ya hizi;
1. Be forward,
2. SBT Japan,
3. Enhance Auto.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.