yoyoyo!!!heshima kwenu wakuu,,,from New Delhi here na ninaunga mkono mfumo wa majimbo.LAKINI
1.kwa sababu chadema inaunga mkono serikali 3,basi ziundwe serikali ya Tanganyika,Zanzibar na Tanzania KWANZA.
2. cheo cha waziri mkuu kingebakia ili kusimamia serikali ya tanganyika yenye majimbo 8...