Recent content by edinajailos

  1. edinajailos

    JamiiForums Tanzania Askari wa usalama barabarani Dar

    Jamani wasilaumiwe wameagizwa .serikali yetu haina pesa za kulipa mishahara ya watumishi wake so hivyo ndo vyanzo vya mapato
  2. edinajailos

    JamiiForums Tanzania Waraka uliotolewa na jukwaa la kikristo wafikia pabaya!!!

    Ndugu wana JF ule waraka kuhusu mwenendo wa Bunge Maalumu la Katiba Mpya (BMK) uliotolewa tarehe 28 Agosti 2014 na Jukwaa la kikiristo Tanzania ambalo ni muungano wa Baraza za maaskofu wa katoliki (TEC),Jumuiya ya Kikiristo (CCT), umoja wa makanisa ya Kipentekoste na Umoja wa Makanisa ya...
  3. edinajailos

    JamiiForums Tanzania TBC Mnakera sana!

    Inaonekana wewe ni miongoni mwa wale wanaokitumia hicho chombo kwa maslahi binafsi,hakika kodi zetu siku moja zitawatokea puani.
  4. edinajailos

    JamiiForums Tanzania TBC Mnakera sana!

    Jamani hiki Chombo cha utangazaji kinachojiita Cha Umma kimepoteza sifa ni bora kiitwe chombo cha CCM.Nasema hivyo kwa sababu hakitendi haki kwa watanzania kwa mfano vipindi vingi vya mahojiano kama Jambo asubuhi wanaohojiwa ni makada wa CCM hasa ktk Mchakato wa katiba mpya.Wanachokifanya...
  5. edinajailos

    JamiiForums Tanzania Ngazi ya shahara wa PGSS19 ni sawa na kiasi gani?

    Thanks
  6. edinajailos

    JamiiForums Tanzania Ngazi ya shahara wa PGSS19 ni sawa na kiasi gani?

    nashukuru mkuu
  7. edinajailos

    JamiiForums Tanzania Ngazi ya shahara wa PGSS19 ni sawa na kiasi gani?

    Naombeni mnijuze ngazi ya mshahara wa PGSS19 ni sawa na kiasi gani kwa pesa za Kitanzania kwa sasa! Natanguliza shukrani
  8. edinajailos

    JamiiForums Tanzania Kwa anayefahamu please!!!!!

    Hasa kwa wafanyakazi wa taasisi za elimu ya juu; Ngazi ya mshahara ya PHTS8 ina mshahara kiasi gani?
  9. edinajailos

    JamiiForums Tanzania MKUU wa shule azini ofisini,mkurugenzi amtetea

    Umehamishwa ndo maana umeamua kupika majungu ili umwalibie mkuu wa shule.Ndo tatizo la nyie vijana wa siku hizi
  10. edinajailos

    JamiiForums Tanzania Naomba msaada please

    Naomba kwa anayefahamu scale ya PHTS8 ina mshahara kiasi gani kwa sasa
  11. edinajailos

    JamiiForums Tanzania Natafuta gari la kununua

    Rafiki yangu ana kiasi cha Tsh 24 million anahitaji gari aina ya RAV4( kama anaweza pata new model itakuwa nzuri zaidi); kwa show room za DSM ni eneo gani anaweza kupata gari zuri aina iliyotajwa au kwa anayejua aina nzuri ya gari ambalo inaweza kutembea masafa marefu kwa gharama hiyo hapo...
  12. edinajailos

    JamiiForums Tanzania MSAADA please wana JF

    Rafiki yangu ana kiasi cha Tsh 24 million anahitaji gari aina ya RAV4( new model); kwa show room za DSM ni eneo gani anaweza kupata gari zuri aina iliyotajwa au kwa anayejua aina nzuri ya gari ambalo inaweza kutembea masafa marefu kwa gharama hiyo hapo juu. Nisaidieni please!!!
  13. edinajailos

    JamiiForums Tanzania Msaada please wana JF

    Rafiki yangu ana kiasi cha Tsh 24 million anahitaji gari aina ya RAV4( new model); kwa show room za DSM ni eneo gani anaweza kupata gari zuri aina iliyotajwa au kwa anayejua aina nzuri ya gari ambalo inaweza kutembea masafa marefu kwa gharama hiyo hapo juu. Nisaidieni please!!!
  14. edinajailos

    JamiiForums Tanzania Naombeni msaada wana JF

    Nataka kununua gari hapa Dar(showroom) na kulipeleka Kagera,Lakini ninavyofahamu gari kama hujabadilidha umiliki,haina bima na haijalipiwa motor vehcle licence haiwezi kuingia barabaran hadi uwe umetimiza masharti hayo.Je nifanyeje ili niweze kwenda nalo Kagera ili nikafanyie process za...
  15. edinajailos

Back
Top Bottom