duh sawa mkuu.....ila mimi niliona dawa yao wenye magari wote wapaki kuwe na mgomoDawa ya traffic ndogo sana.
Toka nyumbani alfajir nenda kazini paki gari kabla hawajaamka. kaa kazini mpaka saa kumi na mbili na nusu washa mchuma rudi home. Jumamosi usiende mjini. Siku ya kwenda mkoa hakikisha saa kumi na mbili ushavuka Chalinze. Lugoba. Msata. Msata mizani Kimange mpaka Mbwewe utakuta bado wanakunywa supu ya utumbo. Kitumbi kuna matuta siku hizi hawapo. Utakuna nao Mkata . pale Mkata kaa nyuma ya fuso hapo hukutani nao tena mpaka Kabuku. wale wa Kabuku wanacheki majambazi zaidi hawana mpango na gari. Likanyagie mpaka njia panda Segera pale kuna wawili lkn utakuta wameshashiba hela za vi hiace. nyoosha mguu mpaka Maili kumi. pale kuna tochi endesha taratibu. ukiwapita nyoosha mguu. pita Korogwe taratibu kuna njagu kinaa wenye njaa ya kufa mtu pale. baada ya hapo nenda mpaka Mombo utawakutam Baada ya mkoa wa Tanga umewini maana askari wa Kilimanjaro ni waugwana sana na ukiwalilia shida wanakuelewa kama itikadi ya CHADEMA
Kama mmegundua tangu wiki mbili zilizopita, siku hizi kila Traffic ana kitabu mkononi mwake katika maeneo mbalimbali jijini Das es Salaam, wamepewa zoezi la kukamata watu wenye makosa barabarani na kila kosa faini ni shilingi elfu thelathini, na kila Traffic lazima arudi na makosa matano kwa siku lasivyo anavuliwa uniform na anarudishwa FFU.
Wekeni vitu vyenu vyote sawa kwenye magari, watajaribu kutafuta kosa la aina yoyote lile ili wakupige faini.
Yaani hata mimi nimeua mhanga wa hicho itabu asubuhi hii. nimeshaandikiwa.
Pale Shekilango ikitokea hauna kosa lolote watakwambia gari chafu. Ili mradi tu "wakulambe".

Dawa ya traffic ndogo sana.
Toka nyumbani alfajir nenda kazini paki gari kabla hawajaamka. kaa kazini mpaka saa kumi na mbili na nusu washa mchuma rudi home. Jumamosi usiende mjini. Siku ya kwenda mkoa hakikisha saa kumi na mbili ushavuka Chalinze. Lugoba. Msata. Msata mizani Kimange mpaka Mbwewe utakuta bado wanakunywa supu ya utumbo. Kitumbi kuna matuta siku hizi hawapo. Utakuna nao Mkata . pale Mkata kaa nyuma ya fuso hapo hukutani nao tena mpaka Kabuku. wale wa Kabuku wanacheki majambazi zaidi hawana mpango na gari. Likanyagie mpaka njia panda Segera pale kuna wawili lkn utakuta wameshashiba hela za vi hiace. nyoosha mguu mpaka Maili kumi. pale kuna tochi endesha taratibu. ukiwapita nyoosha mguu. pita Korogwe taratibu kuna njagu kinaa wenye njaa ya kufa mtu pale. baada ya hapo nenda mpaka Mombo utawakutam Baada ya mkoa wa Tanga umewini maana askari wa Kilimanjaro ni waugwana sana na ukiwalilia shida wanakuelewa kama itikadi ya CHADEMA
Wewe mpuuzi lini umeambiwa gari chafu mtu wenyewe hata baiskeli huna unachafa hali ya hewa
Uko kooote ukikamatwa washa taa Mara tatu kabla ya kusimama also akikisha usipaki Gari pembeni ..simama njiani hiyo heshima ya jeshi na polisi anàkuachia ukiwasha taa ukapaki pembeni mimba wanajya umepaste ujui kinachotakiwa kufanyika
Safarinjema ila kadi za harusi zq faini leo nnyingi sijui sherehe wapi mwaya
Mpinga atakujakutyjuza
Unajua ni magari mangapi mabovu yanatembea barabarani? na unajua ajali ngapi zinasababishwa na magari mabovu? ni mara chache sana hilo unalolisema linatokea, maaana mara nyingi wakikagua na kukuta una kila kitu hua wanakuachia labda tu itokee jamaa ana njaa sana
Ngoja Nimuulize Kaka Yangu Maana Na Yeye Pia Ni Msukuma Upepo Barabarani Hapa Jijini Dar Na Naona Kila Kukicha Anazidi Kutajirika Tu Na Kufanya Mambo Makubwa Na Ukitaka Ugombane Nae Tu Mwambie Aachane Na USUKUMAJI Upepo Humu Mabarabarani Mwetu.
ha ha ha ha ha ha ha
mkuu napenda unavyoandika