swagazetu
JF-Expert Member
- Nov 28, 2013
- 4,253
- 1,475
Katika hali ya taharuki na ya kushangaza mkuu wa shule ya sekondari Buhongwa iliyopo jiji la mwanza alifanya mapenzi na mwanafunzi wake ofisini kitu kilicholeta marumbano kati yake na waalimu wake wasiokubaliana na kitendo hicho.
Katika hali ya kumtetea mkurigenzi akishirikiana na Afisa elimu jiji la nyamagana wamewahamisha walimu watatu waliopingana na kitendo cha mkuu huyo wamepelekwa shule mbalimbali nje ya jiji kama kukomesha walimu kutokemea tabia mbaya za wkuu wa shule.
Waziri mkuu agiza takukuru kuchunguza tukio hilo.miongoni mwa walimu waliokumbwa na mkasa huo ni aliyetambulika kwa jina moja la MANDE.
my take:elimu inakufa kama watendaji ndo wanatendewa haya.