Je! Unahitaji nguruwe wa nyama ??
Je! Unahitaji watoto wa nguruwe wa chin ya miez 3 ??
Kalibu LUNO Pig Farm tupo nao kwa bei sawa na afya na uzito wa nguruwe .
Location ; MPUNGUZI,DODOMA
Follow the NGURUWE DODOMA channel on WhatsApp: NGURUWE DODOMA
Mawasiliano 0796007039
Nguruwe wa miez 2 ni 70k (Chotara)
Nguruwe wa miez 3 wanauzwa 400k
Wapo nguruwe wa nyama pia
Mawasiliano 0796007039
Follow the NGURUWE DODOMA channel on WhatsApp: NGURUWE DODOMA
Kuna OFA ya watoto wa nguruwe aina ya LARGE WHITE chotara
Umri : miezi mitatu
Chanjo : zote zimepigwa
Afya : ipo kama katika video
Bei : 150k kila moja
Location : mpunguzi, bahi dodoma
Popote unaletewa
Mawasiliano : 0685237039
Kwani mkiishia kusema NO REFORM NO ELECTION haitotosha mpaka mnataka mniue na mimi !!!😱
Wanachadema punguzeni jaziba , sis sote ni watanzania sema utofauti ni upande wa kiganja tunapo pokelea chakula. Acheni basi , wakati wenu utafika na nyie mtatawala .
Hapo shida inaanzia pale ambapo watoto wanasoma kuanzia la Kwanza mpaka kidato cha nne bila kuwa na mawazo ya ndoto yake ya baadae.
📌Akifikia muda wa kuhitimu kidato cha nne anaanza kukurupukia michepuo 🙌
📌Na hata akiupata mvhepuo hajui vhuo kikuu ataenda kusomea nini ???
Sasa, hujachelewa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.