Recent content by edgarrweyemamu

  1. E

    JamiiForums Tanzania Ya Mama Salma Kikwete ni vitisho tosha

    sawa alikuja kama mama yake lkn ni wagombea wangapi mama zao wanapanda jukwaani kwa ajili ya kuwanadi watto wao?
  2. E

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kwanini msiongee kiswahini badala yake mnaongea kilugha nisichokijua?

    Hao watakuwa ni wajaluo tu si wangine kwaniwanapenda sana kuongea kilugha.
  3. E

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Andhaa Kanoon

    Ni kweli ndugu yangu unaweza ukawa hivyo, embu nenda katafute filamu hii ya andha kanoon, mbona utaipenda!!!!
  4. E

    JamiiForums Tanzania PAKA MJINGA HUYU HAaa

    Paka la kibisa hilo!!!
  5. E

    JamiiForums Tanzania Zambezi Bar hapa Riverside ni danguro la waziii kabisa

    Dah hapa napasikia sana, ngoja nitafute safari ya Ar, wazuuu watanitambua aiseee!!!!
  6. E

    JamiiForums Tanzania Shule nzuri kwa makombi haya

    Kitu Tosamaganga high school mzee, safi sana kwa EGM, PCB and CBG
  7. E

    JamiiForums Tanzania "Super Sami" Msipojirekebisha Siku Zenu Zitahesabika Barabarani..

    Unafika kuanzia saa sita hadi saa saba usiku, ni magari mazuri kwa kuangalia lkn ngoja upande uone, utajuuuuta kuzaliwa.
  8. E

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hivi demu akikubania sex kuna mapenzi kweli hapo?

    We mshukuru mungu wako na uende zako mkuu kwani huwezi jua mungu anakuepusha na nn dhidi ya huyo dada.
  9. E

    JamiiForums Tanzania Afisa TRA - mtoto wa miaka 2 kumiliki ghorofa

    Ana maana kuwa mababa zao wanajenga mijengo na halafu wanaandikisha majina ya watto wao.
  10. E

    JamiiForums Tanzania sumsung galaxy tab 2 au tab 3

    Ongeza bajeti yako kwanza, hapo uko chini sana.
  11. E

    JamiiForums Tanzania 'First Class' ya UDOM ni sawa na 'Gentleman' ya SUA

    Nani anataka kuja katika chuo cha kata?someni nyie mabwege.
  12. E

    JamiiForums Tanzania TISS wataita watu lini kwaajili ya mafunzo yaani depo?

    Ndugu hawa jamaa ufuatiliaji wao ni wa muda mrefu sana, hivyo usiwe na haraka sana, ww bila kujua hawa wako kwenye usaili watakuwa wanakufuatilia.
  13. E

    JamiiForums Tanzania Rais Kikwete afanya Mabadiliko katika Baraza la Mawaziri - Jan 19, 2014

    Hongeleni sana wale woooote mliopata nyadhifa mpya, nadhani leo mnakula kuku kwa mlija. Hongera sana Mr. Mwigulu Nchemba, kazi kwako sasa.
  14. E

    JamiiForums Tanzania utumishi

    Mwigulu ni chata Ilboru sekondari, hivyo naamini ni kichwa!!!
  15. E

    JamiiForums Tanzania Rav 4

    Weka picha ww, umekuaje?
Back
Top Bottom