Sasa hapo chalinze si watakufa kwa sembe?
Maana Rz aliwah kushikwa china na sembe aliwapelekea wachina sembe ili waone na wapike hiyo sembe ya tanzania, waone ugali wa sembe ulivyokuwa mtam.
Bahat nzur wachina hawatak sembe pia hawali ugali w sembe,
Jamaa akadakwa, mkuu wa nchi yaan baba yake ndo alimnusuru,
Bac wachina wakasema hv kama ukitaka tumuachie mwanao tunakuja kuwekeza tanzani,
Ndo maana unaona mikataba ya ges ni siri wakat ni mali ya watanzania hakuna aliyewah kuona mkataba wa wachina,
Hayo ndo malipo yao na Rz akaachiwa huru,
Leo kanakuja chalinze huku akijitapa mkinichagua kila kijiji nawapa Trecta!!
Kiruuuuuuu miaka 52 hata taa ya hiyo Trecta hakuna leo hii ukichaguliwa ndani ya mwaka mmoja na nusu ndo utaweza?
Chalinze wakimchagua Rz watalishwa sembe ile mbaya!!!!!!!
Jimbo moja tu nakwambia watapeleka mpaka vifaru,
Kalenga walipeleka, jkt, usalama wa taifa na askar kanzu kuwa kutisha wananch wasipige kura, na polic waliwateka mawakala wote wa chadema na kubaki wao wakajisevia kura,
Hii laana haita waacha kwamwe ndo maana majimbo ya ccm wanakufa kufua tu!!
Hapi chalinze naona mtatumia vifaru namakombora!!