Kwa info zaidi Kuna kitabu nilikisoma kinachoongelea Safari za anga nimekisahau jina Ila kimeelezea vizuri. Ila second time wale mbwa 2 walirudi ndio akafatia kwenda Yuri Gagarin.
Binaadam wakwanza ni Yuri Gagarin mwanajeshi na pia mwana anga wa Russia. Rashia ndio nchi ya kwanza kupeleka viumbe mwezini kabla ya binaadam. Walipekeka mbwa hakurudi, second time mbwa wawili streka na belka kwa majina, akafata Yuri Gagarin na chombo aina ya Vostok. Kisha wakafatia Marekeani...
Si Kila muislam au mkristo Ana elimu ya Imani yake Kama ilivyokua mategemeo yako. Hata wewe kuna maswali ukiulizwa utayajibu na mengine huwezi kuyajibu ipasavyo au kwa usahihi. Kibusara Kama kitu hujui ni vyema ukakiri kua huna majibu ya swali husika na si vinginevyo. Ni mapungufu ya uelewa wa...
Nimezisoma comments nyingi nimeona watu wanajichanganya tu. Mwingine kanukuu hadithi na namba yake kutoka kitabu husika na amekitaja kua ni sasahi Muslim anadai ni Aya katika qur an na baadhi ya maneno yamepunguzwa. Na sijui hata Kama anafahamu hiyo ni hadithi na kwanini hiyo hadithi imezungimza...
Kwa mwenye ufahamu pia wa mifuko ya kinga njaa kwa bei ya jumla please atufahamishenaihitaji sna hiyo mifuko japokua sijajua inapakiwa kiasi gani na kwa bei gani.
Habari ndugu zanguni? Kwa mwenye uelewa kuhusiana hii site ya trucklocator ya nchini Uingereza. Hofu yangu isije ikawa ni ma conmen nikapigwa pesa hapa maana uchumi wenyewe ni mgum huu.
Natanguliza shukrani.
binafsi huwa sioni maana ya hiyo calculator ya tra. ilitakiwa mtu anapo angalia makadirio ya tozo zote zisipishane kipindi anapokwenda chukua mzigo wake. vinginevyo hiyo calculator haina maana waitoe tuu.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.