Recent content by Eddie91

  1. Eddie91

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli apigilia msumari jeneza la wauza Dawa za Kulevya, asema si kazi ya Makonda pekee

    Kwa issue ya madawa nakaa pembeni mimi nikisema nitafungwa
  2. Eddie91

    JamiiForums Tanzania Mke wa mtu sumu; Polisi ataka kuua mwenzie

    Hahaaaa nacheka kwa dharaaaau walinzi wa mali za wananchi
  3. Eddie91

    JamiiForums Tanzania Ndoa za watu waliooana na wote wasomi wanaongoza kwa kuchepuka

    Kwa ujinga wao wanakuambia wanachepuka kisomi
  4. Eddie91

    JamiiForums Tanzania Kanitafutia kazi sasa nimekuwa mtumwa wa ngono

    Wakati anakutafutia kazi ulituambia acha hizo
  5. Eddie91

    JamiiForums Tanzania David Silinde: Ununuzi wa ndege mbili kubwa za ATCL una harufu ya ufisadi

    Wapigaji daima hawaachi kupiga
  6. Eddie91

    JamiiForums Tanzania Nahitaji Ushauri hii kwa wanaume wenzangu tu

    Jaribu kuongea naye taratibu mapenzi ni feeling pia usichoke kumfanyia vitu vizuri lakini usimforce utamuudhi na utamkosa jaribu kumuonesha kuwa wewe upo tofauti na mtu mwingine
  7. Eddie91

    JamiiForums Tanzania DAR: Ajali mbaya yatokea kituo cha Palm Beach na kuua watatu

    High speed less control
  8. Eddie91

    JamiiForums Tanzania Nilivyonusurika kutwangwa risasi na rafiki yangu kisa mchepuko wake

    Angekuua tu mijitu tamaa na hicho kiepe ulipeleka kwa mkeo?
  9. Eddie91

    JamiiForums Tanzania Wizara ya Elimu yawaasa vijana kutumia Elimu kujiajiri

    Sie tujiajiri halafu ninyi na watoto wenu muajiriwe? Sent from my SM-J110H using JamiiForums mobile app
  10. Eddie91

    JamiiForums Tanzania Ofisi ya Makamu wa Rais yakanusha mama Samia Suluhu kujiuzulu umakamu wa Rais

    Hata akijiuzulu walichaguana wao wakigombana watajua wao
  11. Eddie91

    JamiiForums Tanzania CUF: Rais Magufuli aache kutumia mamlaka yake vibaya aheshimu misingi ya haki, demokrasia

    Aliyedai kumpa tuzo Jecha anajua alivyo yafanya matokeo kwani kawapa ulaji
  12. Eddie91

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Huyu binti kumbe hajui kupika

    Mfundishe kupika man
  13. Eddie91

    JamiiForums Tanzania Nikipata gari nitaizunguka Dar nzima kutafuta mademu

    Chato
  14. Eddie91

    JamiiForums Tanzania Mke anataka waachane, mume hataki bado anampenda

    Kama hataki si amuache hata kama kamsomesha wanawake wengine hubadilika na kisahau fadhila....Mapenzi tonge la moto kooni kulitema huwezi inabidi ulimeze tuuuu
  15. Eddie91

    JamiiForums Tanzania CHADEMA: Kutoka chama makini hadi kuwa ‘’ukoo wa panya’’. Wanaongozwa na vipaumbele vifuatavyo...

    Hahaa mnawashwa sababu ngoyai yupo upande mwingine
Back
Top Bottom