Recent content by Ed5

  1. Ed5

    JamiiForums Tanzania Naomba ushauri kuhusu chuo cha Manyame Airbase, Zimbabwe

    Ipo kweli ila ukisoma hapa bongo ukitoka nje haina nguvu ila zimbabwe na south Africa unafanya kazi popote pale
  2. Ed5

    JamiiForums Tanzania Naomba ushauri kuhusu chuo cha Manyame Airbase, Zimbabwe

    Nimejalibu kugoogle naona siwaelewi ndugu nikaona nishikikishe members maana hapa naona ntapata majibu ya ukweli kuliko hata kwenda.Kipo Harare Zimbabwe
  3. Ed5

    JamiiForums Tanzania Naomba ushauri kuhusu chuo cha Manyame Airbase, Zimbabwe

    Kama kuna member yoyote anaweza kunipa ushauri kuhusu hiki chuo cha ufundi ndege kipo zimbabwe naomba please nataka kuapply pale nimpeleke mwanangu
  4. Ed5

    JamiiForums Tanzania TEUZI: Rais Samia Suluhu afanya uteuzi wa viongozi mbalimbali Novemba 13, 2021

    Ahaaaaaa yupi huyo?
  5. Ed5

    JamiiForums Tanzania Sadaka zimekuwa nyingi sana, dini imekuwa biashara

    Sudan pamoja na kupigana au machafuko pesa yao ipo juu kuliko ya Tanzania nimetoka miezi miwili ilopita
  6. Ed5

    JamiiForums Tanzania Ukitaka kuishi vizuri Dar es Salaam ishi Kigamboni

    Naona kila mtu anavutia kalibu na ofisi yake ilipo
  7. Ed5

    JamiiForums Tanzania Ukitaka kuishi vizuri Dar es Salaam ishi Kigamboni

    Maeneo gan
  8. Ed5

    JamiiForums Tanzania Ukitaka kuishi vizuri Dar es Salaam ishi Kigamboni

    Mvuti Safi nataka nije huko
  9. Ed5

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Tambua kama unadukuliwa WhatsApp yako

    Safi
  10. Ed5

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Privacy and security issues on WhatsApp

    Ubalikiwe
  11. Ed5

    JamiiForums Tanzania Unahitaji spare kwa ajili ya gari lako? Usiache kupitia huu uzi

    Wadau gari yangu Toyota ist inagoma kupiga reverse naombe ushauri maana nimewaona mafundi wawili wanasema nibadili giabox.nikajiuliza kama giabox mbovu mbona gia nyingine zinafanya kazi????
  12. Ed5

    JamiiForums Tanzania Unahitaji spare kwa ajili ya gari lako? Usiache kupitia huu uzi

    Naitaji lejeta full complete na taa ya mbele ya ist
  13. Ed5

    JamiiForums Tanzania Mambo 30 usiyoyajua kuhusu utapeli wa Q-Net (Network Marketing)

    Mimi juzi nikapigiwa simu na Dada mmoja nafanya nae kazi wizara moja but Mimi nipo mkoa yeye yupo hapa Dar kanambia ana maongezi na Mimi kwakuwa nipo dar tuonane nikamwambia poa kesho ntakuja kwako akasema hapana tukutane mlimani city nkamwambia poa bahati mbaya kesho yake nikapata udhuru...
  14. Ed5

    JamiiForums Tanzania Car4Sale Magari mazuri yapo sokoni

    Nipatie ra4 killtime 5 door ofa 8
  15. Ed5

    JamiiForums Tanzania Serikali ipandishe umri wa chini wa kuolewa na idhibiti 'rubuni' ili tuondokane na tatizo hili ....

    Hatariiiii Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom