Tambua kama unadukuliwa WhatsApp yako

Tambua kama unadukuliwa WhatsApp yako

Unaweza usione kama kweny picha ila ukawa unadukuliwa hyo n kwa wale wanaodukua kwa kutumia WhatsApp web
 
Sjaelewa jinsi ya kuscani code anaeelewa nieleweshe tafadhali

Yaani simu gani inascan na IPI inascaniwa kati yangu na ya muhusika
Hiyo feature ni kwaajili ya kutumia WhatsApp yako kwa namba hiyo hiyo katika vifaa viwili tofauti mfano Pc na simu na sivyo wengi wanavyo itumia sasa hivi.
 
Inategemea na app anayotumia huyo anae dukua mawasiliano yako,
Ila ukihisi hivyo fanya hivi piga *1234* kisha piga kama hiyo app imo katika simu yako utagundua, kama atakuwa amebadili hiyo code basi
Nenda setting ya simu kisha app management angalia downloaded app zako ukiona kuna app hukuwahi idawnload au app yenye jina WI-FI (iwe kwenye dawnloaded app) sio all app anza kutilia mashaka.
Ikiwezekana uninstall. Angalizo iwe kwenye downloaded app.
Asante mkuu....kuna mtu ntamrushia chupa walahi!
 
Jamani kuna dada nikimtumia msg whatsap zile alama mbili hazibadiriki kuwa za blue hata kama msg ameisoma na kujibu. Lkn pia na yeye akinitumia msg hivyo hivyo itafika kwangu na itamwandikia vema mbili lkn ule u blue hautokei!
Nikiwatumia msg watu wengine hizo tiki mbili zinakuwa blue kama kawaida pindi wanaposoma msg.

Naombeni kujua je nipo Hacked au ni nini sababu?
 
Wala hujawa hacked ni simple trick tu
Fungua whatsapp yako ingia kwenye setting kisha account setting nenda privacy scroll chini kwenye iko kipengele kime andikwa read receipt ki ondoe tick yaan Untick pata baki kiboksi kitupu
Kwa hyo ww uki tuma sms akipokea akiisoma au aki kutumia zile tick kuonesha kua delivered & read hakitaka kua kiki onesha zile blue tick

Screenshot_2018-10-13-23-24-07.jpeg
 
View attachment 897252
Nashukuru sana kaka. Lkn kwa nn ilikuwa inatokea kwa mtu mmoja tu? Wengine ilikuwa powa
 
Huyo mtu ndivyo alivyoset whatsapp yake,hata wewe au wengine awaoni blue tick yake na yeye aoni blue tick za wengine kutokana hiyo setup yake
Hili ndio jibu sahihi Wa kusoma.
Ila ni kwa official WhatsApp, zipo modded WhatsApp ambazo hilo swala hufanyika upande mmoja tu. Yaani anaekutumia anaweza aone tick moja au mbili ila zisiwe za blue, but wewe ukituma akisoma zinakuwa za blue.,
 
Nadhani hizo option zitakua zinapatika kwenye apk whatsapp,nipe maujanja kama hayo kwenye whatsapp original

Kwenye Official WhatsApp ipo option ya kuzima hicho kipengele pande zote, ila kuna Gbwhatsapp nk ndio unaweza switch off hizo option kwa upande mmoja tu.
 
Hii ni njia mojawapo ya kusoma whatsap ya mtu..lakn kuna nyingine hyo ata ulie bila kuambiwa huwez jua kuwa watu wanasoma whatsap yako
 
Zifuatazo ni hatua jinsi ya kuhakiki kama kuna mtu ana dukua mawasiliano yako ya WhatsApp kupitia kipengele cha Whatsapp web kwa wenye simu yako.
Kwakuwa kipengele hicho kiliwekwa kwaajili ya mtumiaji wa whatsapp aunganishe whatsapp account yake na pc, ili anapokuwa mbali na simu au pc aendelee kuwa connected.

Hatua ya 1.
Fungua whatsapp yako kisha upande wa juu kulia utaona vidoti vitatu (angalia mshale) gusa hapo itakuja menu.
52fc24f62d713b46299b039c0755b7c0.jpg

Hatua ya 2
Katika menu itakayotokea hapo angalia neno whatsapp web kisha gusa hapo.
8ee2ef6f2a9f66747612e441f271012e.jpg

Hatua ya 3.
Angalia kama utapata majibu yafuatayo.

Jibu A
Kama whatsapp yako ikija hivi
932bd7453800144874f3f575301b2309.jpg

Tambua upo safe hakuna mtu anadukua mawasiliano yako kwa njia hiyo ya whatsapp web kuputia App zilizo playstore.

Jibu B
Ukigusa lile neno whatsapp web ikafunguka hivi
6693875404337a2d71b34fcaa0077e93.jpg

Tambua kuna unauwezekano mtu anadukua mawaailiano yako ya whatsapp.
Kwa njia ya computer/laptop au kwa njia ya App ambazo zipo nyingi mno playstore.
Kama ni wewe mwenyewe uli unganisha kwa pc au hizo App hakuna shida.

Ila kama sio wewe
Ili kujiondoa gusa hayo maneno ya blue hapo chini yanayo sema log out from all computers

UPDATE
JINSI YA KUDUKUAA
[emoji116]

MAUTUNDU: Namna ya kusoma chat za mwenzako za WhatsApp bila yeye kujua

NB: NIKOSA KISHERIA KUFUATILIA MAWASILIANO YA MTU BILA RIDHAA YAKE.

Nawasilisha.
Nisaidie uo utundu wa kusoma sms za m2 mwingine mana nimejalibu ila nimeshindwa
 
Back
Top Bottom