Recent content by ebrah

  1. E

    Nape apendekeza Msajili wa vyama kufuta CHADEMA

    Nimependa sana hii statement ya mwisho baadae ya Pirijo nyiiiiingi mwisho anashindwa kujitetea Chama chair kwa wana nchi kwani hoja ya naingia ni uwajibikaji wa serikali ya ccm and poor nape ana ischia kuku bail kuwa mawaziri hawajawahi fika huko!! Sa Sonora asingeenda hata kwenye hiyo ziara...
  2. E

    Makamu wa Rais ana kazi gani?

    sa mbona yupo off duty? au anatangaza biashara ya kiwanda cha mikasi?
  3. E

    Mkuu wa Dar awaasa wananchi wa dar wasinunue bidhaa za machinga

    Serikali ya CCM imechoka watu wake, wanatamani wabaki wao tu wenye uwezo wa kununua vitu supermarkert
  4. E

    Vodacom Sells Tanzania Phone Towers

    wataalamu wa uchumi wetu watazame kama kuna mahusiano na kodi mpya katika hili na je athari yake ni nini kwetu?
  5. E

    CHADEMA wamfunga mdomo LUDOVICK

    duh mwenzetu unatafuta ajira nini? kama hizo red text uliandika wewe sa siusimame umsaidie kama wakili wake? au unataka tukuchangie gharama za wewe kuisimamia kesi ya YUDA? hah hah hah
  6. E

    CHADEMA imejiandaa KUMLETA rais (wa umma), CCM imejiandaa kumleta MTAKA urais (binafsi)

    spidi yako nimeipenda, umepewa na Ipad or laptop kwa ajili ya kukamilisha majukumu yako ya kila siku?
  7. E

    CV ya Mbunge wa Arusha Godbless Jonathan Lema imejaa uongo mwingi

    mkuu punguza ushamba, kama mtu ni anamiliki kampuni ya kwake hicho cheo kinamuhusu. na si lazima kampuni iwe ya meli za kubeba pembe za ndovu wetu, mtaji wa chini kabisa kusajili kampuni Brella ni 5m,
  8. E

    Kikwete atimiza asilimia 80 ya ahadi zake ndani ya miaka saba ya utawala wake

    hah hah hah! UDOM was a plan since then na kilianza kujengwa na mkapa JK akamalizia ndugu, ndo mana kulikuwa na lile Jengo la CHIMWAGA, waulize wenzako wanaojua mambo watakuambia Nyerere alihakikisha chimwaga imejengwa kwasababu gani! Kuhusu NELSON MANDELA pls usipotoshe uma, halikuwepo katika...
  9. E

    Jimboni Hai hali ni tete, mhe. Mbowe haya huyajui?

    kina mwigulu wangekuwa na majibu haya kwenye Hoja za msingi wangekalia uraisi milele, but kwa kuwa hawana majibu haya, na yanapatikana chadema pekee, BYE BYE BYE ccm pale magogoni.... notice nadhani mmeshaipata msije mkafika 2015 mkasema hatukuwapa taarifa mmkaanza kupanda juu ya paa kukataa...
  10. E

    Mipaka ya asili ya zanzibar

    ndugu unafikiri kwa kutumia nini? unataka sisi tufanyaje? ardhi zinauzwa kila siku, huyo sultani alimiliki hadi mwaka 1886 umeonyesha mwenyewe kkwenye ramani, fuatilia kuna hati ya maandikishiano na mjerumani.
  11. E

    Wilfred Lwakatare: Mrejesho kutoka mahabusu Segerea

    Namshukuru Mungu kwa kujibu maombi yangu na ya watanzania wote waliombeba Mr. Lwakatare na familia yake. Kuhusu suala la udini, "JK JIULIZE KILA SIKU TUNAPANDA DALADALA PAMOJA MISIKITI NA MAKANISA YAPO MITAANI KWETU HAKUNA FUJO, " haya matatizo nani kaanzisha kama si misemo yako wakati...
  12. E

    Kinana amburuza Msigwa kortini

    Hivi na wewe Kinana utajiita mzalendo kweli? katika jambo hili linalohusu rasilimali za taifa badala ya kutoa msaada wako "basi kama hukuhusika watu waliohusika" kukodi meli yako kusafirishia mali za watanzania wote zenye thamani ya mabilioni ya shilingi unadai kusafishwa jina baada ya biashara...
  13. E

    Ufugaji wa Kuku wa Kienyeji na Masoko yake

    mhh ndugu nimesoma post yako yote, nimeipenda, naomba mawasiliano yako kuna vitu nahitaji ushauri wa kina
Back
Top Bottom