Mipaka ya asili ya zanzibar

Mipaka ya asili ya zanzibar

Android 00

nyaraka zipo za kodi

fukwe za tanganyika zilikodishwa kwa mjerumani na zitarudi znz

hilo halina shaka yoyote
 
Kwangu mimi naona swala la Mpaka wa TANGANYIKA NA ZANZIBAR itahitaji mazungumzo maana inadalili ya mgogoro. Nilishawahi kutoa kwenye post fulani hapahapa kwenye hili jukwaa.
 
nnguo007

tuseme ndio huujui ukweli au ndio unaonesha utanganyika wako tu

Historia ya Zanzibar inaonekana kuanzia 600s AD.

Mreno alipofika Msumbiji walimkuta gavana wa zanzibar pale aitwae Mussa Bin Mbek wao wakawa hawawezi kulitamka vyema jina lake ndio wakawa wanamwita mussabek ikawa Mozambique.

Na hichi kitabu ulichokinuu kimeandikwa na John Okelo au nani?

Kama unajuwa historia ninataka utuambie safaru ya Tanganyika kabla hii
Z

Heller ya Deutsch Ost Afrika

Ninaomba uniambie mtawala wa Tanganyika kabla ya kuja kwa Mjerumani?

Lete ushahidi kamili hapa

Ahsante
 
Jerrytz,

Si afrika yote laki east afrika yote kuanzia somalia hadi msumbizi ilikuwa zanzibar. yaani zenj empire.

Hili neno Mozambique unajuwa nini? ni Mussa Bin Mbek, walipokuja wareno walimkuta yeye ndie gavana pale wa zazniabr. hawakuweza kulitamka jina lake na wakawa wanamwita mussambek ikawa Mozambique hii kama ujuwayo wewe.

Kadhi wa Kwanza wa zanziabr 1832 alitokea somalia ya leo, Sheikh Muhidin Bin Abdullah Al Qahtan, kwasababu somalia ilikuwa ni part of zenj empire wakati huo. Ndio maana haikuwa noma kuweka mtu wa huko katika sehemu nyeti kabisa katika uwongzi wa dola ya zanzibar.

Kuhusu zanzibar kuonewa na tanganyika hilo halitaki darubini, mara ngapi nyinyi watanganyika munapeleka jesho lenu kutuuwa kule pemba, kwa kutumia kichaka cha uchaguzi wa siasa.....

ahsante
UKOLONI UKOLONI! jamani mnashindania HISTORIA. NCHI ikishapata UHURU na kuvunja minyororo ya wakoloni hakuna mkataba unaoabudiwa wala kufuatwa wa makoloni ya zamani. Huu USULTANI unaoutetea hauna tija tena! Unachotakiwa kukiangalia wewe na Wazenj wenzio ni kukaa meza moja na Tanganyika mukaona namna ya kuvunja au kuimarisha muungano. Hayo madai ya kikoloni yatakuharibieni kila kitu. Hamtapata Zenji wala tone la ardhi ya Coast mnayodai. Tafuteni Haki kistaarabu. Wewe kama unadai mali yako kwa jirani yako unadai hata ile mali yake halali UTAKOSA VYOTE!!!
 
Ujamaa wa Nyerere ndio ulioishia chumbeeee
 
Mangikule

Nadhani hata muungano wa nyerere na karume ni historia na karibu vitabu vitabadilishwa.

Haki kistaarabu haipatikani....Mzee Karume alipowakataa kuwapokea mawaziri aloletewa na Nyerere kuwapandikiza katika SMZ na aliposema koti likianza kutubana tutalivua akauliwa, Jumbe alipojaribu kuvunja muungano akauzuliwa madarakani na kuwekwa kizuizini tanganyika, uamsho walipojaribu kuwaamsha wazanzibari wamewekwa kizuizini.....sasa nakuomba uwashauru wazanzibari wafanye ustaarabu gani ili mtanganyika aitowe ndoana katika koo ya zanzibar?

wewe utauita usultan, mimi naiita serkali ya Zanzibar.

Nipe sababu moja tu ya kisheria itakayoiwezesha Tanganyika kuiiba sehemu ya Zanzibar iliopo mipakani mwake, yaani maeneo ya pwani ya tanganyika?
 
Chief Kimweri, kama paramount chief upande wa Tao la Mashariki, (Usambara yote hadi Moa, Lunga Lunga)
Chief Kingalu, naye kam paramount chief upande wa Tao la Magharibi, (Uluguru yote hadi Bagamoyo)
nao walikuwa "subjects" wa Sultan? Walilipshwa kodi ya kichwa na sultan?

Au unatuandaa madai ya territorial waters (incl. 200 miles EEz) ?
Tueleze, tukuelewe, Eastern Seaboard kwa urefu na upana wote, ya nani, warithi wa sultan au wadanganyika?
 
Android 00

nyaraka zipo za kodi

fukwe za tanganyika zilikodishwa kwa mjerumani na zitarudi znz

hilo halina shaka yoyote

Naona mnahitaji kiboko, maana mmeanza mchezo wa kutushikashika shalubu.
 
Wadanganyika kama mliweza kuizika tanganyika hai basi jiandaeni kuizika tanzania mfu.
 
Mangikule

Nadhani hata muungano wa nyerere na karume ni historia na karibu vitabu vitabadilishwa.

Haki kistaarabu haipatikani....Mzee Karume alipowakataa kuwapokea mawaziri aloletewa na Nyerere kuwapandikiza katika SMZ na aliposema koti likianza kutubana tutalivua akauliwa, Jumbe alipojaribu kuvunja muungano akauzuliwa madarakani na kuwekwa kizuizini tanganyika, uamsho walipojaribu kuwaamsha wazanzibari wamewekwa kizuizini.....sasa nakuomba uwashauru wazanzibari wafanye ustaarabu gani ili mtanganyika aitowe ndoana katika koo ya zanzibar?

wewe utauita usultan, mimi naiita serkali ya Zanzibar.

Nipe sababu moja tu ya kisheria itakayoiwezesha Tanganyika kuiiba sehemu ya Zanzibar iliopo mipakani mwake, yaani maeneo ya pwani ya tanganyika?
nakushauri uunde jeshi lenu la ukombozi mje mkachukue ardhi yenu mnayoidai Tanganyika. Tutawasubiri.
 
ndugu unafikiri kwa kutumia nini? unataka sisi tufanyaje? ardhi zinauzwa kila siku, huyo sultani alimiliki hadi mwaka 1886 umeonyesha mwenyewe kkwenye ramani, fuatilia kuna hati ya maandikishiano na mjerumani.
 
Tanzanzia kushneii.. Ndo bas tena mizozo imeanza bado vita sasa tuwapishe wenye akili wachote rasilimali ..
 
Waungwana

Hii ndio ilyokuwa mipaka ya zanzibar katika awamu mbali mbali

zan18561886.gif
hapa munaona ukubwa wake

Huo ni MPAKA wa Karne ya 17 baada ya Mreno kuondoka Karne ya 16; Kwahiyo haukua MPAKA wa ASILI

Na unauita MPAKA wa ASILI sababu ni MWARABU ndie aliutumia kukamata watu wa RANGI NYEUSI kama VITENDEA KAZI? HULKA ya UASHERATI? na UCHAFU wowote ULE?

Sijui SHULE GANi itakubidi UHUDHURie ILI uelimishwe... kwasababu inaonyesha anayekusaidia kukuelezea kuhusu habari hii ni tu kwasababu ya GAS MTWARA.... na Wamegundua Na UNGUJA kuwa na Maji yote hakuna GAS kama MTWARA

Sasa IKIJITENGA ina Maana; Itaendelea kuwa OMBA OMBA kama Mataifa mengine yaliyozungukwa na maji kama FIJI; PAPUA new GUINEA
 
Tanzanzia kushneii.. Ndo bas tena mizozo imeanza bado vita sasa tuwapishe wenye akili wachote rasilimali ..

Mizozo IKO wapi? Umeona wanaoongelea? Ni wale ambao ELIMU imewashinda - kilichobaki ni kuaa kijiweni na kueneza UMBEA na haufiki hata NYUMBA ya PILI..
 
nnguo007

tuseme ndio huujui ukweli au ndio unaonesha utanganyika wako tu

Historia ya Zanzibar inaonekana kuanzia 600s AD.

Mreno alipofika Msumbiji walimkuta gavana wa zanzibar pale aitwae Mussa Bin Mbek wao wakawa hawawezi kulitamka vyema jina lake ndio wakawa wanamwita mussabek ikawa Mozambique.

Na hichi kitabu ulichokinuu kimeandikwa na John Okelo au nani?

Kama unajuwa historia ninataka utuambie safaru ya Tanganyika kabla hii
Z

Heller ya Deutsch Ost Afrika

Ninaomba uniambie mtawala wa Tanganyika kabla ya kuja kwa Mjerumani?

Lete ushahidi kamili hapa

Ahsante

Bin Faza, Mreno alipoitawala kwa MUDA - Haikuwa kule Zanzibar na Pemba; aliishika ile himaya huko OMAN enzi hizo; Ndio Maana Mpaka leo Vyakula vingi tunavyokula vyenye Viungo vya kunukia vingine vilianzishwa kutokana na wakati wa UTAKWALA wa MRENO... walitawala hadi INDIA..

Kwahiyo; Huko ZNZ; Pemba na Mombasa mtawala hakuwa Sultani wa OMAN hata kidogo; na wananchi wao walikuwa Hadimu na Tumbatu; hakuna sijui Washirazi na michanganyiko Mingine

Asante...
 
bin FAZA kwa hiyo katika madai ya kujitenga na Tanganyika mkifanikiwa mnaanza kudai pwani ya Somalia,Kenya na Tanzania.?
 
Last edited by a moderator:
Nawashauri wadai jumlajumla mali ya sulatn wao vinginevyo wakitoka dar patachimbika
 
Daaah huu ni ukosefu wa historia,,hivi leo the great mali empire waki claim eneo lao itakuwaje?ndo maana after fall of any kingdom its the end of its territory and out of those territories new kingdoms will be formed,,,haya zenj was from somalia what about kingdom of somaliland?
Mkitaka mipaka yenu ni pale mozambique na somalia zikiwa zenu nasi tutawapa??
 
Alafu napata machungu the way we are holding you guys ndo maana my mentor always tells me ''znz ni mwanamke malaya,ameolewa na tanganyika ila bado anatafuta wanaume wa kiarabu waliomnyanyasa''
its time ya kuwaachia muende na kumbuka mpo 1.3m so kila rasilimali itagawanywa sawa na wingi wa watu sio mnaishi kwa mgongo wa pato la kanda ya ziwa na watalii wenu magumashi,,
 
Back
Top Bottom