Acheni watu wenye shida waponywe.ww mwenye afya yakijukuta utakuja tuu.alafu kuliko kwenda kwa mganga c bora uende kwa MWAMPOSA.ULAMBE MAFUTA NA maji?kuliko kukalishwa makaburini na kulishwa nyama za wafu.tunachokita ni uponyaji tu.na MUNGU anasema utaweka mikono juu ya wagonjwa nao...
Inavyoonekana Maya aliuliwa na kugeuzwa msukule ambapo yule jini aliyekuwa anapenda kwenda pale kwa Ally alikuwa anamtumia Maya kwa shughuli zake binafc hata kule kunyanduliwa kwa msukule haukuwa msukule lilikuwa linakanyangwa jini.na ndo mana Kuna cku pale dukani FARAA Alimcfia MASTER kwa...
Najiuliza HV vitambulisho ni kwa wajacliamali wa aina IPI.?? kwan naona huku kwetu hadi washona viatu,wauza juisi,karanga, mchicha,nyanya na wengine wa aina hyo wanalazmishwa kukata hvyo vitamburisho.Je!nao vnawahsu au huko Watendaji wameingia Chaka.
Sent using Jamii Forums mobile app
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.