Nami nilikuwa nahtaji sana kuanzisha kampuni hiyo ya usafi but ckujua nianzie wp bigup mdau.nashukuru.Kwanza sajili kampuni yako brela......
Pili nenda TRA upate lessen ya biashara............
Fungua account ya Kampuni......
Kuwa na office hakikisha unalipia city council ( jiji).........
Usisahau kulipia vitu vidogo vidogo kama fire na vingine ambavyo nimesahau......
Chagua ajiri timu ya Kazi ( watuwa masoko hapa ndio muhimu ili kutengeneza network.......
Nunua vifaaa then anza Kazi Sasa