Recent content by ebandio

  1. E

    ACT-Wazalendo yapewa siku 14 kujieleza kwanini isifutiwe usajili wa kudumu kwa kuvunja ‘Matakwa ya Sheria ya Vyama vya Siasa’

    NaazininMs Kuwait kamayugi kunambi turn kavana sheria na ametakiwa kujibu na awajibike kujibu. Hiyo ndiyo sheria kulwa.
  2. E

    Waraka: Shule 11 za Serikali Hazitahusika na Utoaji wa Elimu Bure

    Michango sio palepale, chakula hakikuchangiwa shuleni, mtoto alipewavfedha atafute, kama alikuwa hali, hilo jingine. Madaftari na sare vilinunuliwa sio kwa kupeleka michango. Kinachosemwa hapa ni uendeshaji wa shule kwa kuwataka wazazi wachangie, mara mitihani, mara kadi ya maendeleo ya mtoto...
  3. E

    Message from Juma Mwapachu

    Not expected from Amb. Mwapachu, a person I have witnessed praising the Government of the URT, when working with the Community. There must be something grossly wrong somewhere in his statements as I do not believe in a person who changes his words like a chameleon changing skin colour. I am...
  4. E

    Tamko la Jukwaa la Wakristo Tanzania kuhusiana na Muswada wa Mahakama ya Kadhi

    Nakushukuru sana kunielieimisha usichoelimisha maana ni kweli nimeusoma waraka sijaona mahali ambapo nimekuta AYA ZA SHETANI katika Katiba pendekezwa na wala sijaona mahali ambapo hoja ni ya kunilazimisha kupiga kura ya Hapana. Viongozi wa CCM wanataka kura ya Ndiyo, Maaskofu ni wa chama gani...
  5. E

    Tamko la Jukwaa la Wakristo Tanzania kuhusiana na Muswada wa Mahakama ya Kadhi

    Maaskofu wangu, nawashukuru kwa kutoa tamko hilo, tatizo langu moja, mbona tamko lenu limejaa mapigano kati ya Wakristo na Waislamu, nashindwa kuelewa ni kwa njia ipi Mahakama ya Kadhi italeta mapigano hayo, mbona hamuliweki wazi ili tuwe na uelewa. Je kundi la Waheshimiwa Maaskofu (your Grace...
  6. E

    Zitto amjibu Ngeleja, Asema yuko tayari kuchunguzwa na kuhojiwa na Tume ya Maadili

    Ndugu yangu Mheshimiwa Zitto, usijali kujitetea sana maana kweli umeonyesha ulikopa PAP pesa za kumuuguza Marehemu Mama yako Mpendwa, swali ni utakopaje kwa PAP kampuni uliyokuwa unaongoza kamati ya Kuichunguza na kumbe Kampuni Fake? Well kama ulipewa pesa na PAP basi wewe umekula ESCROW halisi...
  7. E

    Gwajima amtumia salamu CAG Prof Asad kufuatia ombi lake la kujengewa msikiti ofisini

    Wenzangu achana na Gwajima, tukianza malumbano ya kidini hapa tutafika pasipo pema. Wapo waksristo wenye misimamo mikali aidha waislamu wenye misimamo mikali. Mjadala kama huu hauwezi kuleta tija kwa nchi. Kila mtu na dini yake na misimamo anayojua itampeleka mbinguni. Kama ofisi za umma...
  8. E

    UDA waandika historia Dar

    Hilo sasa neno, maana wengine tulidhani yanaletwa aina fulani tofauti yenye muudo unaopatana na miundombinu uliyogharimu muda sana na feza nyingi. Alamsiki
  9. E

    UDA waandika historia Dar

    Alimradi tu UDA wasikute wana ka-thread kwenye sheria kanakowalinda halafu Serikali/SUMATRA ikajikuta inakaanga mbuyu. UDA wamewahi kusema wana leseni ya Dar nzima na route yoyote. Hivyo ikifika maji shingoni wasije wakakatumia hako
  10. E

    UDA waandika historia Dar

    Yote uliyosema ni mazuri, ila naomba sana msipende kulinganisha na Ulaya. Hapa sio Ulaya na wala hakuna sababu ya kufuata ya Ulaya tunapofanya ya kikwetu. Taja adhari za mfumo ili tuchangie kurekebisha kama zipo. Natumai ni vema kuangalia mazingira na mazingara ya mambo yenyewe ndipo tuone ni...
  11. E

    Appropriate use of honorary doctorate

    Wadau, I was reading through the TCU "Quality Assurance General Guidelines and Minimum Standards for Provision of University Education in Tanzania" second edition, and found some interesting guide regarding the correct use of titles from Honorary Degrees especially the PhDs. Part III provides...
  12. E

    Matendo ya wanyama yenye kustaajabisha

    Na huko ndio kuuma na kupuliza, muumba wake alimuumba hivyo ili afanikishe malengo yake.
  13. E

    Kaka afumaniwa na dada ake

    Katika Biblia relations za hivi zimebatilishwa Soma Walawi 18:8-18 (Leviticus 18:8-18), na natumaini hakuna dini yoyote inayoruhusu unyama huu hii ni weakness ya wahusika (individual weakness) kwenye uvumilivu sexually. Tusiingize mambo ya imani kwenye suala hili ila tuangalie misaafu inatoa...
  14. E

    Kaka afumaniwa na dada ake

    Nadhani elmarsry na permanides mnapotosha agenda, huko mnakoelekea hakufai. Tusianze sasa kuangaliana mapungufu ya ki-dini kwenye jambo hili. Hii ni mmomonyoko wa maadili katika jamii sio katika ufyuasi au uasi wa dini tu. Suala la Mapadre na waarabu hapa halipo. maana tukianza kuchnguzana hapa...
  15. E

    Msichana Witness Obedi aliyefariki na kuzikwa atokea nyumbani kwake na kusimulia mkasa

    Hapooo ndipo nilitaka uchunguze maana hapa umesema mwenyewe "Mhusika alishikwa na sijui baadaye kilichoendelea" hakuna kilichoendelea kwa kuwa ilikuwa porojo za kuuza matoleo yao. Uelewe ndugu. Alamsiki
Back
Top Bottom