Mimi binafsi nimeamka salama slim5 namshukuru Mungu.
Umekusudia kutufikirisha asubuhi hii kwa kulinganisha matendo ya wanyama na yetu sisi binadamu.
Yote ulosema ni kweli ila kuna facts umezisahau, nazo ni:
Wanyama hufanya wanayofanya kwa kutumia in-built natural instinct. Kwa maneno mengine wanyama hawatumii
planned conscious thinking.
Hiyo namba tatu kuhusu panya ni misconception iliyoenea sana na ninataka nikuondoe kwenye hiyo dhana.
Pua ya panya iko juu ya midomo yake. Sasa anapotafuna kitu lazima apumue -kuvuta na kutoa hewa puani.
Kwa hiyo anapokutafuna vidole gumba hewa anayotoa akipumua inagusa kidole gumba na kukufanya ufikiri
kwamba anapuliza! Kwa nini apulize? Kwani anajua unapata maumivu?
Pia tembo hali kwa kuingiza chakula puani ila mdomoni.
Wataalamu wa wanyama hebu njooni msaidie.
Sawa, na ikitoke km nilivoweka hapo juu, tunaitaje?
Sayansi inakataa kuhusu mnyama kua na akili.
Jamani huu uzi mbona umebadilishwa title? mi niliweka title ingine, uzi umekuja na title ingine!
Nitoe povu mtaani,nitoe povu kwenye viwanja vya mpira (kama juzi nigeria walivyofungwa) halafu tena nitoeur a great thinker coz umerekebisha kistaarabu sn tofaut na wengne wangetoa povu
kweli mkuu mjini wanyama kibao cha ajabu wanakula unga!
Mimi binafsi nimeamka salama slim5 namshukuru Mungu.
Umekusudia kutufikirisha asubuhi hii kwa kulinganisha matendo ya wanyama na yetu sisi binadamu.
Yote ulosema ni kweli ila kuna facts umezisahau, nazo ni:
Wanyama hufanya wanayofanya kwa kutumia in-built natural instinct. Kwa maneno mengine wanyama hawatumii
planned conscious thinking.
Hiyo namba tatu kuhusu panya ni misconception iliyoenea sana na ninataka nikuondoe kwenye hiyo dhana.
Pua ya panya iko juu ya midomo yake. Sasa anapotafuna kitu lazima apumue -kuvuta na kutoa hewa puani.
Kwa hiyo anapokutafuna vidole gumba hewa anayotoa akipumua inagusa kidole gumba na kukufanya ufikiri
kwamba anapuliza! Kwa nini apulize? Kwani anajua unapata maumivu?
Pia tembo hali kwa kuingiza chakula puani ila mdomoni.
Wataalamu wa wanyama hebu njooni msaidie.
Hao wanyama unasema wana akili kuliko binadamu at the end binadamu ndo anayewatawala. binadamu hana nguvu za kuua tembo ila amatengeneza kifaa cha kuweza kumuua tembo kiitwacho bunduki.Kusema mnyama ana akili kuliko binadamu hiyo ni kufuru. Ndo ni matusi kumuambia mtu ana akili kama za mnyama. Mnyama hana reasoning kabisa anaishi kwa insticts kama alivyosemammoja wa wadau hapo juu ndo maana anaweza akajamiana na mama yake. Binadamu amabaye anajamiana na mama yake anafananishwa na mnyama. Hujiulizi kwanini? Nenda kajipange tena uje na thread ya maana. Jengaa taifa acha ulalamishi