Recent content by eazy900

  1. E

    Forex training regional tour - mkoa mmoja baada ya mwingine

    Mwenye link ya TMT dodma tafadhali
  2. E

    Forex training regional tour - mkoa mmoja baada ya mwingine

    Mkuu Ontario huko kwa group ya Arusha tengenezeni utaratibu vizuri naona kumeharibika na tunatolewa tu bila sababu please angalia nini shida
  3. E

    Employment Opprotunity, TRA; Deadline 20/10/2015

    Hivi ni lazima ku attach vyeti maana vinakataa kwamba mb zake kubwa kama unajua tafadhali
  4. E

    Looking for Assistant Accountant/Stock Controller

    mkuu hebu kajipange haujui unataka nani hapo f4 au Assistant Accountant, hivyo ni vitu viwili tofauti
  5. E

    Wizi: Tigo wanaiba internet bundle!

    ni majambazi hao majamaa tena wezi kweli tcra wawachunguze hao raia
  6. E

    Tra clearing & forwarding exams

    vihi hamna mtu anaejua kuhusu hili jamani, lecturers at TRA Institute of Taxation hamjui lolote kuhusu hili
  7. E

    Tra clearing & forwarding exams

    guys Anaejua mitihani ya hawa jamaa inakuaje, materials naweza pata wapi na kwa kipindi kifupi unaweza bana nondo za kutosha kufaulu paper plse msaada
  8. E

    Natafuta kazi CPA (T)

    Mungu akubariki utapata soon unakila zana ya kupatia kazi ya Acc usiloose confident cos hujawa na kazi conf ndio hazina yako kuu go to the interview with your head held high
  9. E

    Interview za Utumishi

    Nenda kajipange tena halafu uje maana hatahujui unataka nini
  10. E

    Kuweni makini na nafasi zinazotangazwa na ZOOM, kuna utapeli

    Tatizo nililoliona kwa zoom ambalo wanawezakulifanyia kazi ni kwamba unawezapost chochote bila wao kupitia kwa mfano mtu anawezaweka advert la kazi halijakidhi vigezo vile vya kawaida halina qualification needed,adress au website ya advertiser au simu, sasa zoom either wawe wanapitia kwanza na...
  11. E

    Ni jinsi gani ya kumsahau mpenzi uliyempenda kwa dhati na sasa amebadilika?

    We lalana nn bana umeishamlala tayari na kunawanawake trillion kwa hii nchi unatuangusha wanamme wenzio man vipi
  12. E

    Nilimuheshimu sana kama kaka, leo hii ananitaka

    Usimkubalie huyo kaka anataka ku take advantage ya misaada yake nimekupenda bure na hio misimamo yako endelea hivyohivyo mpaka utakapofika umri wa kuolewa maana sasa hivi watu wamehalalisha uzinzi na pia ujifunze kuachakumtegemea mwanadamu " na alaaniwe amtegemeaye mwanadamu"
  13. E

    Mambo makuu matatu (3) yanayokamilisha Ndoa

    Facts mkuu hilo la kwanza ndio muhimu zaidi, ulizoea kukaa baa mpaka bar inafungwa ukioa acha rudi home mapema
Back
Top Bottom