Mwanamke lazima apate
Ngoja niombe kumbe tunapewa kipaumbele wanaboa hajafunguka
Mwanamke lazima apate
Ndugu Wana Jf Mamlaka ya mapato Tanzania -TRA imewatangazia kazi kwa Wa +255 wote wenye sifa kuomba kazi zifuatazo
1-Assistant Tax Officers
2-Assistant Customs Officers
3-Assistant Preventive Officers
4- Assistant Legal counsel
5-Senior Estate Officers
6-Estate Officers
For more information visit www.tra.go.tz
Hizo tayari zina wenyewe, labda tutimize tu wajibu kuomba
Hivi ni lazima ku attach vyeti maana vinakataa kwamba mb zake kubwa kama unajua tafadhali
Rudia kusoma maelekezo vzr. Kwa case yako ni kwamba utachaguliwa position moja kati ya hizo tatu without consultation!!
wakuu mbona sifa za muombaji sizioni?
Mbona hazifunguki mkuu hizo kazi?
Tusikatishane tamaa mimi kuna rafiki yangu aliomba bila kuunganishwa za mwaka jana na alipata
wakuu mbona sifa za muombaji sizioni?
Rudia kusoma maelekezo vzr. Kwa case yako ni kwamba utachaguliwa position moja kati ya hizo tatu without consultation!!
Kwenye remarks pale unajaza nini?
kuna zile za mwezi wa saba, majibu mpaka leo hakuna.
Sizani kama ni lazima kuweka remarks. Nachofahamu remarks ni km ku-comment kuhusu jambo fulani. Kwa mfano pale kwenye SKILLS, unaweza kuweka your levels of Proficiency!!!
Ndiyo Ujue Pengine Huna Qualifications Nazo Mkuu. Jaribu JKT Kujitolea Ukifungua Tu Link Yao Ipo Tayari Kwa Wewe Kuomba.