Recent content by Earth on heaven

  1. E

    JamiiForums Tanzania natafuta dawa

    Hapana..... mimi ni E.O.H
  2. E

    JamiiForums Tanzania natafuta dawa

    mzizi mkavu et al... natafuta herbal aina ya "tribulus terrestris" kwa tanzania ni wapi inapatikana na bei....ni pm. asanteni
  3. E

    JamiiForums Tanzania X-mass Festival: Enjoy it with a Discount rate, Buying Architectural Drawing design

    weka bei public kijana ili watu wavutike kukupigia, wengine wanapenda kuona bei kwanza......jiamini
  4. E

    JamiiForums Tanzania ATM Machine!!!!!

    huyu mzee niliwahi kumuona maeneo ya kimara.....
  5. E

    JamiiForums Tanzania Le mutuz:- Mi Kam Mjumbe NEC Rais Ajaye CCM Simpi Kura Mpaka Aahidi Kutatua Kero za Foleni Dar ;-

    yaani unataka clear plan ya kutatua tatizo la foleni dar ndio utoe "kula" yako just simply because ULICHELEWA KWENYE BIRTHDAY PARTY. Ina maana ungewahi ktk hiyo party je? Hizi ndio vision za viongozi wetu wa nec ccm!!
  6. E

    JamiiForums Tanzania Show za ughaibuni hazina mashabiki kwa wasanii wa bongo!!!!

    Sumu nini kimekuchosha? mimi kuitwa hilo jina au? mbona mwenyewe amekaa kimya...halafu hujajua source ya hilo jina..... muulize Heaven on Earth atakuambia. Hakuna ugomvi
  7. E

    JamiiForums Tanzania Hebu itupie neno picha hii!

    mtela mbona suruali hapo chini imetuna sana? au mlitoka ku-kapuyana?
  8. E

    JamiiForums Tanzania pete wapendazo wadada na mabinti.

    ninachoona hapa wengi hawanunui pete ila wananunua madini....ila naamini kwa elfu 20 unapata pete nzuri tu.... unless unasema unataka kumtafutia pete ya madini fulani.
  9. E

    JamiiForums Tanzania JARIBU KUFANYA HAYA MAHESABU KISHA UJE UNIPE JIBU KAMILi

    mzizimkavu hapo mwisho isomeke "......the first TWO digits is your....."
  10. E

    JamiiForums Tanzania JARIBU KUFANYA HAYA MAHESABU KISHA UJE UNIPE JIBU KAMILi

    it should read "......the first TWO digits is your....."
  11. E

    JamiiForums Tanzania JERRY SILAA: Meya wa Ilala asiye na mission wala coherent vision

    Samahani Kijana wa Malecela, Wewe ndio msemaji wa Meya? inaonekana wajua mengi hadi bajeti yake! Kama ni hivyo, nini kazi ya meya kama kila kitu kiko ktk wizara?
  12. E

    JamiiForums Tanzania Ushahidi wa sms za m-pesa kutoka kwa kapuya kwenda kwa binti

    Prof alipohojiwa alisema ana line tatu za simu VODACOM, TIGO na AIRTEL.
  13. E

    JamiiForums Tanzania Asanteni wana jamii kwani nimepata rafiki

    Umechukua maneno kinywani mwangu
  14. E

    JamiiForums Tanzania Binti Anayedai kubakwa na Kapuya

    Hivi angekuwa ni mmoja wa viongozi wa chadema anaongelewa kuhusu ubakaji, ni kweli ungepoteza muda wako kufanya haya uliyofanya? Muda wa kuita " chepeo kijiko kikubwa uliisha " Poleni.
Back
Top Bottom