nataka kumvisha pete mpenzi wangu, nimeaanda 20,000/=. Je ni pete rangi gani ambazo mabinti wanazipenda zaidi? Msaada wenu wanajamvi. Asanteni!
20,000? Majanga hayo.....hii inaonesha hujawahi kumgharamia zaidi ya 350,000? Mthamini mwenzio, Ukiwa kijana mfanye
afurahi, pete siyo swala la ghafla mpatie dhahabu nzuri , najua utapata nzuri mkuu at least kuanzia 100,000 hadi 1,000,000 hivi vitu havijirudiagi bana, vikipita vimepita. MAKE IT HAPPEN.