Recent content by E2BK

  1. E

    Sahara Media sikio la kufa...

    Mkome kabisa, tena hata mnapolala mfukuzwe pia mkalale Nyegezi, ule wimbo wa kuisoma namba mliukomalia sana 2015 mlidhani unabagua? Mmetumika kama bazoka now mnalia.
  2. E

    Nini athari za kupunguza kodi ya kuingiza magari nchini?

    Acha tu mkuu, yaani wanapiga hela kuzidi hata aliyeuza huko Japana
  3. E

    Kitendo cha gari la Mkuu wa Mkoa Mara kugongeshwa na mtoto wa dereva ni dhahiri agizo la Waziri Mkuu lilipuuzwa

    Enzi zile mzee akija nyumbani basi atakutana na tv ina rangi ya blue kuashiria imezimwa muda si mrefu, kila mmoja yuko chumbani anasikilizia sauti ya baba atamuita nani. Mzee tulimpa majina mengi sana kutokana na tabia hii, mara mjerumani, mpalestina lakini kutoka na hili tukio nimejifunza kitu...
  4. E

    Vodacom kuna nini Iringa mbona vifaa vya usajili vinagawiwa kiupendeleo?

    Sio lazima avae gwanda anaweza vaa hata tshirt ila kwa hiyo avatar voda hawatampa vifaa
  5. E

    Jifunze Kinyakyusa hapa

    Ndipo ne ngambako ja babu, ne gwa kongonde kokelu kongisi
  6. E

    Vodacom kuna nini Iringa mbona vifaa vya usajili vinagawiwa kiupendeleo?

    Tatizo wanaogopa avatar yako imekaa kitapeli sana hawawezi kukuamini kukupa vifaa vyao utaiba tu.
  7. E

    Mahakama yampeleka Wema Sepetu jela siku 7, akisubiri hatma ya dhamana

    Sana tu tena kinyume na maumbile kabisa
  8. E

    Mizinga ya Bar maids

    Kama sio mpenzi wa kupiga hawa watu kama mimi inakera sana, ila wale ambao wanapiga wanaona kawaida tu. Kuna kibar nilihama kwa upuzi huu, mhudumu hajiongezi nimeenda na demu wangu anauliza kaka vipi kama kawaida nami niagize? Aliniachia ugomvi mkubwa mjinga yule.
  9. E

    Maskini RFA, ndiyo kwaheri hivyo

    Hawa walipendelea upande mmoja kipindi cha kampeni kuliko hata redio na gazeti la chama tawala, hata Chanel ten walikua bora kidogo. Anyway wacha tuisome namba, hope watajifunza kitu.
  10. E

    Kuna Vi mwanamke viko Selective!!

    Fanya mazoezi mkuu punguza kitambi, ongeza juhudi kuzitafuta pesa hutachukia tena hizi kauli na wewe utakuwa selective.
  11. E

    Ili Kenya iendelee, inabidi iungane na Tz kuunda taifa moja!

    Hata mimi nilielewa logic yake but kuongea ukweli kumekufanya wewe unione mimi mkenya. Tunajifanya tuna akili sana kuwazidi wao ila ukweli ni sawa na china na USA tu, mjinga anaweza waona USA wajinga kuliko china lakini si kweli, china anapambana kusonga usa anapambana kubakua juu. Nikupe...
  12. E

    Ili Kenya iendelee, inabidi iungane na Tz kuunda taifa moja!

    Hoja yangu Kenya wanatuzidi ili tuendelee labda sisi tuwaige wao njia walizotumia kufika walipo na sio wao waungane na sisi ili wafanikiwe. Upo hapo mkorinto wa kigogo?
  13. E

    Ili Kenya iendelee, inabidi iungane na Tz kuunda taifa moja!

    Teh teh teh! Siku nyingine usijitoe akili, alafu mimi sio mkenya nishakwambia naandika haya nikiwa chato kwenye ujenzi wa kiwanja cha ndege cha kimataifa
Back
Top Bottom