Sahara Media sikio la kufa...

Sahara Media sikio la kufa...

Poleni Sana! Ila inashangaza hakuna anayesikiliza malalamiko yenu (Ikiwemo Ccm mlioipamba na kuipigania) japo mlijaribu kwenda mahakamani ila bado poleni Sana
 
Diallo kubali umefilisika,mlizoea kuneemesha biashara zenu kiujanja ujanja. Sasa kama ndo hali halisi inaonekana. Uza ulipe watumishi stahiki zao.
Wasubiri kampeni za uchaguzi wa 2020 huenda wakalipwa Kama sio Diallo angalau Ccm watawapa chochote ili watangazwe vyema hapo wataweza hata kubadilisha mboga.
 
Hao wafanyakazi wanapoteza haki zao kwa kulala hapo
Wanatakiwa wakimbilie kwa labour officer au vyama vyao. Ya wafanyakazi
Kitendo cha kulala nje ya ofisi ya mtu ni jinai,wanaweza kufunguliwa jinai ya tresspassing
Ningekuwa mimi ni Md ningewafurusha hao ndani ya nusu saa tu
 
Hiyo kampuni imechoka kitambo toka jamaa aachishwe uwaziri
Poleni sana. Nakumbuka mwaka jana niliona watumishi hao na mabango yao wakimsimamisha cde Bashiru pale CCM Kirumba, kumbe hakutatua tatizo!

Kwa kifupi ni kwamba hiyo Sahara Media imefilisika! Diallo aliingizwa mkenge na Marehemu Mengi kwenye digital telecasting!
 
Mkome kabisa, tena hata mnapolala mfukuzwe pia mkalale Nyegezi, ule wimbo wa kuisoma namba mliukomalia sana 2015 mlidhani unabagua? Mmetumika kama bazoka now mnalia.
 

Diallo alishaahidiwa kulindwa, pigeni mayowe hadi machozi yawakauke..... Hapa Kazi Tu.
 
Wafanyakazi wamegoma.

Sasa mbona bado Star Tv naipata? Au wamegoma kidogo wengine wanaendelea?
 
Wafanyakazi wamegoma.

Sasa mbona bado Star Tv naipata? Au wamegoma kidogo wengine wanaendelea?

Njaa kali mno kwenye tasnia ya habari, wanayopitia wafanyakazi wa EATV na Radio (IPP MEDIA) ni Mungu tu anajua kesho yao.... wachache wanaovimba ni kujitunisha tu.
 
Back
Top Bottom