severinembena
JF-Expert Member
- Jun 2, 2018
- 2,435
- 2,402
- Thread starter
- #21
Wao ni Mara chache sana kuomba ila huwa wanakuzugazuga kwenye kukupa chenji ha ha haVipi na wakiume nao wanaomba?
Wao ni Mara chache sana kuomba ila huwa wanakuzugazuga kwenye kukupa chenji ha ha haVipi na wakiume nao wanaomba?
Ha ha ha kuna mdau mmoja alianzisha Uzi unasema Asilimia cjui ngapi nimesahau kidogo ya wahudumu Wa bar wana HIV+, na alisema amefanya utafiti
Unamaanisha nikiwa nina kiu ya bia na nina hela ya kununua bia zangu tu pasipokuwa na ya kumnunulia mhudumu nisiende bar?Mimi nikiingia bar. Nikiagiza beer namuambia barmaid na wewe chukua kinywaji chako. Ya pili hivyo hivyo mpaka ya nne. Ya 5 naanza kupima oil bila upinzani wowote. Ya 6 namwambia akamuage matron.
Bar sehemu ya ushenzi. Sasa wewe hata beer moja ya 2500 waiona expensive? Ninyi ndio ambao ukiona mtu amekaa na barmaid unafikiri anamtongoza.
Ule uzi nakukumbuka sana
Nilimwambia naomba utafiti wake uwe wa uongo.
daaa umenchekesha sanaSahihi piaMkuu kama huna au hutaki we sema tu huna hela yaishe. Hamna haja ya kujaribu kubadili system, utatumia nguvu nyingi.
Huu ni utaratibu wangu binafsi niliojiwekea. Sijakuambia uniigeUnamaanisha nikiwa nina kiu ya bia na nina hela ya kununua bia zangu tu pasipokuwa na ya kumnunulia mhudumu nisiende bar?
Sawa ila basi ulikosea ulivyoshangaa kwamba 2500 inanipa shida?Huu ni utaratibu wangu binafsi niliojiwekea. Sijakuambia uniige
Ha ha ha daaa hapo asee lazima kiwakeKama sio mpenzi wa kupiga hawa watu kama mimi inakera sana, ila wale ambao wanapiga wanaona kawaida tu.
Kuna kibar nilihama kwa upuzi huu, mhudumu hajiongezi nimeenda na demu wangu anauliza kaka vipi kama kawaida nami niagize? Aliniachia ugomvi mkubwa mjinga yule.
Uskonde kaka yangu Severine Mbena ukitilia maanani wewe ni shemeji yangu.Sawa ila basi ulikosea ulivyoshangaa kwamba 2500 inanipa shida?
Na wanatabia ya kumzoe mtu sijui kwanini
Ha ha ha sawa kaka utolile hunyumba siyo?Uskonde kaka yangu Severine Mbena ukitilia maanani wewe ni shemeji yangu.