Mkuu nami nisaidie simu yangu ni Huawei Ascend Y550-L02 (also known as Vodafone Mario Y550) azingiliani na version uliotoa apo juu nisaidie kama naweza kupata firmware au solfware update ya hii simu imezima ghafla ikuwaka aiendelei chochote.
Wanajamvi naomba msaada kwa mtu yoyote aliyesikia tangazo la kazi kwa walio soma hotel management,kwa dada yangu yupo nyumban zaidi ya mwaka akitafuta kazi mpaka leo.
naomba mwnywe update ya kazi,
jamani ni serious
Uamuzi ni wako mwenye sababu hupo kimasomo na unaishi kwa kaka yako inaonekana kama ukimukubalia na kuanza maisha ya kimapenzi baadae tena akijitokeza kijana mwingine uoni kama hata kuacha wewe pia.kwa ushauri achana naye na usitake mazoea naye.
Asante kwa kushare exprience yako kuhusu jf ambayo imenifanya nipate uzoefu fulani kuhusu jf na pia itabidi kuamia katika kusoma habari lakini sinampango wa kuaga member sababu nahisi sife kesho wala kesho kutwa.licha ya hayo karibu tena!
(UKISOMA UTAKULA VYA USIYESOMA)
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.