Mke wa mtu anisumbua mimi nifanyaje?

Lukwa

Member
May 7, 2012
12
6
Jamani naombeni ushauri, kuna mke wa mtu ametokea kushindwa kuzizuia hisia zake na kujikuta akinipenda na kunitaka kimapenzi. Nimejitahid sana kumpangua lakini hataki kunielewa kabisa na mpaka anatishia kujiua au kumwambia mme wake kwamba namlazimisha mapenzi endapo sitamruhusu kutembea nae! "Yeye ni mke wa mtumishi wa serikali tunaishi karibu na nnapoishi kwa kaka angu, Mme wake yupo masomoni, na mimi hapa nilipo npo masomoni" kiukwel anansumbua sana kwani naogopa sana kuvunja amri ya Mungu. Mbaya zaid aniambia eti alikosea chaguo kwa mmewe ikibidi mie ndo niwe wake wa maisha! Jaman naomben ushauri kutoka kwenu wa kunijenga mana masømo nayo yananiandama. Ahsante!
 
Hana ubavu wa kujiua wala kumwambia mume wake! Anakupiga mkwara tu..endelea kumuepuka tena usiwasiliane nae kabisa..
 
mwambie wazi usimuonee aibu kuwa humtaki wala hakuvutii, kisha acha mawasiliano naye msikutane hata kwenye mgahawa mkaongea, na pia usimpigie na akikupigia ignore call yake. uwe makini kijana unaweza kuta katega mtego na mumewe ili upate skendo. kuna siri kubwa hapo.
 
Uamuzi ni wako mwenye sababu hupo kimasomo na unaishi kwa kaka yako inaonekana kama ukimukubalia na kuanza maisha ya kimapenzi baadae tena akijitokeza kijana mwingine uoni kama hata kuacha wewe pia.kwa ushauri achana naye na usitake mazoea naye.
 
Kama unapenda maisha achana na huyo mke wa mtu.
Kama unapenda kufa basi mkubalie ili kuzimu ikutawale.
 
Lukwa,
inaonekana si jambo gumu kuamua hili, labda tu kama umeamua kukusanya michango yetu. Huyo ni mke wa mtu, kwa vyovyote vile wazo la kuishi naye halipo coz by all means utajiingiza matatani. lakini pili, hayo maneno anayokuambia ni tamaa tu na vitisho, kama walivyosema wengine hana ubavu wa kujiua. Be firm man, mwambie ukweli straight at her face kwamba it wont work. Vinginevyo ukiendekeza sitaki nataka itakula kwako. Cheers
 
Jamani naombeni ushauri, kuna mke wa mtu ametokea kushindwa kuzizuia hisia zake na kujikuta akinipenda na kunitaka kimapenzi. Nimejitahid sana kumpangua lakini hataki kunielewa kabisa na mpaka anatishia kujiua au kumwambia mme wake kwamba namlazimisha mapenzi endapo sitamruhusu kutembea nae! "Yeye ni mke wa mtumishi wa serikali tunaishi karibu na nnapoishi kwa kaka angu, Mme wake yupo masomoni, na mimi hapa nilipo npo masomoni" kiukwel anansumbua sana kwani naogopa sana kuvunja amri ya Mungu. Mbaya zaid aniambia eti alikosea chaguo kwa mmewe ikibidi mie ndo niwe wake wa maisha! Jaman naomben ushauri kutoka kwenu wa kunijenga mana masømo nayo yananiandama. Ahsante!

Kama kweli humuitaji usimpe nafasi hata kukaa naye popote pale muongee faharagha endapo atahitaji. Ukimpa chance lolote laweza tokea.
Pia nakushauri namba yake i add kwenye black list au uipige call barring ili akipaga cm zisiingie, akituma sms soma then delete alafu piga kimya, kama amekuzidi umri mkikutana barabarani au place nyingine mpe SHKAMOO.
Naamini kwa kufanya hivyo atachoka 2 mwenyewe.

Ni MTAZAMO 2...:cool:
 
Jamani naombeni ushauri, kuna mke wa mtu ametokea kushindwa kuzizuia hisia zake na kujikuta akinipenda na kunitaka kimapenzi. Nimejitahid sana kumpangua lakini hataki kunielewa kabisa na mpaka anatishia kujiua au kumwambia mme wake kwamba namlazimisha mapenzi endapo sitamruhusu kutembea nae! "Yeye ni mke wa mtumishi wa serikali tunaishi karibu na nnapoishi kwa kaka angu, Mme wake yupo masomoni, na mimi hapa nilipo npo masomoni" kiukwel anansumbua sana kwani naogopa sana kuvunja amri ya Mungu. Mbaya zaid aniambia eti alikosea chaguo kwa mmewe ikibidi mie ndo niwe wake wa maisha! Jaman naomben ushauri kutoka kwenu wa kunijenga mana masømo nayo yananiandama. Ahsante!

Chezea bahati wewe! Shauri yako!
 
hahaha, mke wa mtu sumu bhana,leo nilikuwa nasikilza claudz fm kuna mtu amegandana na mke wa mtu...kumbe mume wake alimuwekea mke wake tego! njemba akajimegea wakashangaa haitoki!!!
 
mrekodi maongezi anayonena na simu yako.

ukinogewa usije ingia bila mpira ukimwi upo kwenye ndoa pia.
 
Back
Top Bottom