Recent content by E medics

  1. E medics

    Fungus ambao wananisumbua mwaka wa pili sasa, nimemaliza hela nyingi na nimetumia dawa nyingi sana ila sijapona

    mkuu hii hali kuna ndugu yangu anayo na mdogo ake aliendaga kumsalimia akambukizwa...
  2. E medics

    Tukio la kushangaza la kikombe

    sasa uchawi wako unatuletea??πŸ˜‚
  3. E medics

    Tukio la kushangaza la kikombe

    He jion? dada wa kazi? ameshalala? unapika mwenyew? upo single? uyo dada anafanya kazi gani?? unganisha izo keypoint utapata jibu vimetokaje
  4. E medics

    Niliwahi ku-date na mwanaJF, ilikuwa hivi, wewe je?

    @Dudujeupe 🀣🀣🀣🀣 jina lako lina uhusiano gan na weweπŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜‚
  5. E medics

    Gigy Money kafanya nini huko kwenye ziara ya Tumewasha na Tigo?

    kiuhalisia hiyo vazi ndio halina shida sana ila shida inakuja kwenye hizo bolded area kwenye matiti na hiyo hapo chini.kitendo cha hayo maeneo kukozwa kinafanya mtazamaji wa azingatie/aone kirahisi..
  6. E medics

    Natafuta nafasi ya kazi as Pharmacist asistant

    daah nmepata sema ya Pharmacy, ila hii ya tmda n kubwa zaid ingekua nzur zaid
  7. E medics

    Hatimaye mdogo wenu nakaribia kumiliki gari ya ndoto yangu

    πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜… serekali iendelee tu kukataza yale majani
  8. E medics

    Tanzania yatajwa kama nchi pekee isiyokuwa na Covid 19 Ulimwenguni

    mi naona asilimia sometimes hai apply kote mfano ukisema 40% (40/100) wameambukizwa alfu vipimo vijavyo ikatokea wale 60 ambao walikua safe wakapimwa 50 majibu yanakuja 0% (0/50) πŸ˜‚πŸ˜‚ sjui imeeleweka vizur ninachotaka kumaanisha..
  9. E medics

    Zuchu akitoa wimbo na Nandy anatoa...? Basi ameingia mkenge

    mkuu Kigoma... ni kama vile una posho maana sio kwa kumtetea huko, af pia sio kwasababu wewe unamkubali sana basi ndio queen kama unavosema...
  10. E medics

    Zuchu akitoa wimbo na Nandy anatoa...? Basi ameingia mkenge

    ata sijaelewa kitu mara 1M views mara audio mara rayvan na nandy mar ruge, mara kukaa uchi, mara vanessa mdee, wai inshot ni kutoa maoni/mawazo yako ila umehusisha vitu vingi ata havikua na ulazima...
  11. E medics

    Zuchu akitoa wimbo na Nandy anatoa...? Basi ameingia mkenge

    iv kijana unapata wapi nguvu ya kuongea vituko vya namna hii et zuchu ni queen wetu πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜… em ni log out kbsa maana hizi ni kauli nlitegemea ntazionaga tu Facebook πŸ˜­πŸ˜­πŸ˜­πŸ˜­πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
  12. E medics

    Zuchu akitoa wimbo na Nandy anatoa...? Basi ameingia mkenge

    sasa wew Kigoma... unataka kila mtu aer kama ww ...πŸ˜‚πŸ˜‚
Back
Top Bottom