Recent content by Dystonia7

  1. D

    JamiiForums Tanzania Leo nimemwona Mwandambo Daah! Mpaka nimelia. Nimesikitika Sana

    Umechukua hatua gani ya kumsaidia baada ya kulia?
  2. D

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Hussein Mwinyi wa Zanzibar ni Rais bora sana. Nampa maua yake!

    Nadhani after Magufuli angefata yeye kwa ule utaratibu wa kubadilishana hata kwa dini. Ila Mama akimaliza mitano yake hii wanaweza kutuletea wa kutoka Mainland huku
  3. D

    JamiiForums Tanzania Viashiria vya msingi vya kuzingatia kabla ya kununua hisa za kampuni husika

    Kwa sasa utamshauri mtu awekeze kwenye hisa za kampuni zipi? We see CRDB current price imedrop from 1600 to 1140, in market for traders ukiangalia graph yake unaweza sema ipo in correction phase, is it a good time to buy ? With the principle of buy low and sell high? Naomba view yako
  4. D

    JamiiForums Tanzania Rais wa Vatican: Papa Leo XIV sasa ni raia wa nchi TATU!

    Brother hebu hata jaribu kujielimisha mwenyewe. Una Internet , vitu vingine sio vya kuuliza. Kama ni information , u cab just get it on ur palm kuondoa ujinga ambao sio dhambi kuwa nao.
  5. D

    JamiiForums Tanzania JWTZ latangaza nafasi za kuandikishwa Jeshini kwa vijana wa Kitanzania

    Tangazo limesema maombi yatumwe...ww unaongelea habari za kwenda physically kweli?
  6. D

    JamiiForums Tanzania Msaada mtoto wangu mbegu moja imepotea

    Vituo vingi vya afya vina MaCO ambao I can say they have limited medical knowledge kwenye kudiagnose mambo. Case serious go direct to hospitali kubwa.
  7. D

    JamiiForums Tanzania Msaada mtoto wangu mbegu moja imepotea

    Hii alichelewa sana kuishusha na bora waliitoa. Huwa zinacomplication zake pia zikibaki ndani, zinaweza badilika na kuwa kitu kingine
  8. D

    JamiiForums Tanzania Msaada mtoto wangu mbegu moja imepotea

    Usipoziba huo uwazi inayotumia kupanda, itaendelea kupanda na ipo siku haitarudi kabisa. Na mwanaume testis zake hazitakiwi kuwa ndani kwa sababu zinaaffect pia sperms production...Mungu hakuziweka chini huko nje kwa bahati mbaya ndio maana wale wanaozaliwa ambao wanakuw na undescended testis...
  9. D

    JamiiForums Tanzania Msaada mtoto wangu mbegu moja imepotea

    Ana umri gani? Mpeleke hospitali inayoeleweka. Watafanya ultrasound kuangalia location ilipo, then kuna possibility ya kufanya upasuaji ishushwe na hiyo nafasi ambayo inaitumia kuascend iweze kuzibwa. Testis haitakiwi kuwa juu, zinatakiw ziwe kwenye it's normal anatomical position chini.
  10. D

    JamiiForums Tanzania Wanasiasa acheni kuwachonganisha watoa huduma za afya na wananchi

    Ambao hawako kwenye management sekta ya afya hasa hizi za serikali hawawez elewa kabisa hili, hospital hauwez kujiendesha bila kupata mapato. Hizi exemptions labda kama serikali ingekuw inaleta fungu kama wanavyofanya projection na OCs ,otherwise itabaki tu kuwa siasa
  11. D

    JamiiForums Tanzania SI KWELI Vodacom inadaiwa fedha nyingi na Serikali kupitia M-Koba

    Usifananishe forex na mambo ya kijinga ndugu
  12. D

    JamiiForums Tanzania Wapenzi wa Mazda Atenza, average fuel consumption ya 21 km/L mnaionaje?

    Hili sijawahi jua. Process inakuaje hebu tupe mwanga boss tujilipue
  13. D

    JamiiForums Tanzania Wapenzi wa Mazda Atenza, average fuel consumption ya 21 km/L mnaionaje?

    Kwa hiyo nikiwa na 25m napata chuma bila shaka
  14. D

    JamiiForums Tanzania Natarajia kununua gari yangu ya kwanza, naomba ushauri

    Achana na gari old model kijana....jichangechange utumie gari recent kidogo zenye upgrade ya vitu vingi including safety features...buy a car inayoweza kukulinda pia siku lolote likitokea
Back
Top Bottom