Usipoziba huo uwazi inayotumia kupanda, itaendelea kupanda na ipo siku haitarudi kabisa. Na mwanaume testis zake hazitakiwi kuwa ndani kwa sababu zinaaffect pia sperms production...Mungu hakuziweka chini huko nje kwa bahati mbaya ndio maana wale wanaozaliwa ambao wanakuw na undescended testis lazima zishushwe otherwise watapoteza uanaume wao.4yrs si conclusion ya kukufanya wewe uone kuwa hiyo op. Haina madhara ama la,ni vizuri kutumia dawa za asili kuliko op. mkuu.
Acheni masikhara kwenye vitu serious.