pongezi kwa aliyekuzaa kwa kumkumbuka,mama hafananishwi,kwani kama watoto wote wangekuwa wanajua jinsi mama zao wanavyoumia siku ya kuwaleta duniani sidhani kama kungetokea mtoto ambaye angemdharau mama yake!! NAKUPENDA SANA MAMA.
Asante mkuu, kuhusu salary tungepata tu ila kwa huko ni ngumu kuja kwani nina majukumu yanayonizui kwa sasa kufanyia kazi mikoa ya mbali labda ungekuwa morogoro ni nafuu kwangu ila usijali utapata tu mi nasema asante sana tena sana kwa msaada.
asante miss chaga ni kweli kama nikulia nimelia zaidi ya miezi miwili sasa ili hali bado nikiwa nakidonda cha uzazi hakijapona lkn kwa sasa kidogo naanza zoea hii hali kwani nimejua hata mtoto anateseka pia kwa kukosa maziwa kwani chakula kilikuwa hakipiti njaa ya uzazi sikuisikia matokeo...
kamwe sina ujasili huo wa kuua mtu hata anitendee nn ndio maana nikasema kuna imani potofu alopandikiziwa na rafiki zake na kwa nn nimuue mtu ninaye mpenda tena zaidi ndio baba wa watoto wangu? siwezi fanya hivyo na sitakuja fanya hivyo milele naamini Mungu yupo iko siku atamfungua na kumpa...
Elimu kidato cha nne,fani secretarial and computer, level two, uzoefu miaka miwili kama PS na Cashier miaka miwili Vodacom branch ya wilayani, kwa sasa niko Dar es Salaam nimejaribu kutuma post sehemu mbali mbali bila mafanikio naomba wana Jf mnisaidie kwani najua kazi bila refa ni ngumu hata...
chanzo ni imani potofu na inamaliza sana hasa yule ambaye imani yake ni ndogo kwa muumba wake na mume wangu alikuwa mmoja wao kwani kanisa kwake ilikuwa mpk nimlazimishe sasa shetani kumteka ilikuwa rahis sana.
Asante kwa ushauri wenu nitafanyia kazi moja baada ya lingine,kiniumizacho mimi ni watoto wangu kukosa mapenzi na upendo wa baba yao ili hali nami bado nampenda, SABABU ya yote ni imani potofu aloingizwa na rafiki pamoja na mzazi wake.
Ni sawa ila je nitamsimamisha nani kumshitaki wakati yeye atakuwa hayupo kwani nimekuja kujua too late kwangu kuwa anaenda n'gambo yani mpk sasa amebakiza kama siku tatu kuondoka
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.