Nimechanganyikiwa wana mmu

Nimechanganyikiwa wana mmu

Kweli taarifa ya upande wa pili ni muhimu mume anaweza kuwa na makosa lakini kwa maamuzi Aya lazima Kuna sababu nzito zaidi ya nazo ziona tusikimbilie kulaum upande mmoja maisha yana mengi na binadam hupenda kujustify makosa yake kwa kuangushia lawama kwa mwingine.
 
Boss uko dunia gani au unazungungumza kwa kuwa wewe ni mwanaume tu? Ni wanawake wangapi wametelekeza hapa dunia kwa uj.nga tu wa mwanaume na niwangapi wameuwawa kwa huo uj.inga wa wanaume wapo wengi wameumizwa sijuu hii Gender based violance itaisha lini Africa toooo much.
Hii story iko nusu ..usi jump na conclusion ...hatujui version ya mume ikoje....mwanaume huwezi tu kumchoka mkeo na Watoto uende nje ghafla kuanza upya
 
Mkuu tena huyo jamaa atakuwa Ishomile-MHAYA. Mtu kaandika kiswahili halafu anamjibu kwa kingereza. Huo ni ushamba bora angekaa kimya!

Mkuu watanzania wengi hawajui matumizi ya lugha.wao wanadhani ni sifa kuongea lugha flani hawajui kwamba inatakiwa mhusika apate ujumbe na kuelewa.
 
Mmmmmmmmh! Acha kupoteza muda, TAFUTA KAZI, PANGA NYUMBA, JITUTUMUE KUWAPA WATOTO MAISHA! Mtegemea cha ndugu hufa masikini.
Kuachika si kilema au kifo! Ni stage tu ya maisha. Ukisimama vizuri kiuchumi atardisha tu FREE PUMB zake sooner than you expect.
Ku moarn kupp ila usizidishe you are being SELFISH! YES VERY SELFISH to your kids, punishing them without your knowledge for their fathers mistake.
Be inspired with Mama Lara 1, mwenzio kafuga kuku sanaaa, anafanya kazi mpaka saa 5 usiku na zingine anarudi nazo home, WITH OR WITHOUT DADY LIFE WILL ALWAYS BE THE SAME AND THE BEST IN LIFE IS NOT AN OPTION FOR HER KIDS! My dad nae alizamiaga nje, akakuta bi mkubwa yupo larger than ever, ana mjengo wake, na maisha bomba kabisaaa! Akamuuliza tu ndo umerudi jumla au unapita mwenzangu? Sie tupo utavojisikia ukae, uende sio issue. Tunakaribia anivesary ya 28yrs in mariage lakini angelegea ingekuwa story
Ujue mwanaume ukishamjua hatakiwi kukusumbua, sasa wako huyo irresppnsible basi nenda nae kikomandoo. Dont male his miatakes destroy your life n your kids life. You are stronger than that.
Stop WHINING HERE ingia zoom anza ku apply kazi. All our sympathy cant pay schoolfeez to your kids.

Lara 1 anatamani sanaaa kuolewa! Nisiongee mengi manake kuna issue serious hapa ila kingasti na miss neddy, JICHO TAI, muke ya muyahudi, nadhani mmwnisoma hii line ya mwisho

Yaani inaonekana we ni mgumu sana na umekaa kikomandoo, duh!
 
Last edited by a moderator:
Tumia sheria sasa wale watu wa haki za binadamu especially mambo ya wanawake hiyo ndoa ishakua ngumu kwahiyo tetea furaha yako kwa wanao

Haya mambo ya wanandoa kukimbilia kwenye sheria mimi huwa siyapendagi sana, unaweza kujikuta mnaharibu zaidi na mnawaathiri watoto kuliko unavyodhani!! Ushauri aliotoa lara 1 umesimama!! Bibie hebu jitahidi upate watoto wako uishi nao mwenyewe, then anza kusaka shekeli!! Siku moja atarudi anatambaa na magoti..
 
What makes me special kiliko jirani? Mchezo wa pata potea hu!

tuko tofauti hata kimtazamo hatuwezi kufanana hiyo peke yake inaonyesha jinsi gani ulivyo special
olewa uongezee kwa uzoefu
ndoa sio kama mchezo wa pata potea hasa ukimpata right person for the right reason na ukiolewa by choice not by chance
 
mhhh kuna jambo nyuma ya pazia sio buree hapa.
haiwezekani maamuzi magum kama hayo mumeo ayachukue bila kuwa na kisababishi .

kuna jambo unalificha hapa ambalo ndio msingi na ndio chanzo cha matatizo haya yoote

Mwenyewe kasema kafukuzwa kwemye nyumba sababu alitaka muua mumewe!

Sent from my iPhone using JamiiForums app
 
Mmmmmmmmh! Acha kupoteza muda, TAFUTA KAZI, PANGA NYUMBA, JITUTUMUE KUWAPA WATOTO MAISHA! Mtegemea cha ndugu hufa masikini.
Kuachika si kilema au kifo! Ni stage tu ya maisha. Ukisimama vizuri kiuchumi atardisha tu FREE PUMB zake sooner than you expect.
Ku moarn kupp ila usizidishe you are being SELFISH! YES VERY SELFISH to your kids, punishing them without your knowledge for their fathers mistake.
Be inspired with Mama Lara 1, mwenzio kafuga kuku sanaaa, anafanya kazi mpaka saa 5 usiku na zingine anarudi nazo home, WITH OR WITHOUT DADY LIFE WILL ALWAYS BE THE SAME AND THE BEST IN LIFE IS NOT AN OPTION FOR HER KIDS! My dad nae alizamiaga nje, akakuta bi mkubwa yupo larger than ever, ana mjengo wake, na maisha bomba kabisaaa! Akamuuliza tu ndo umerudi jumla au unapita mwenzangu? Sie tupo utavojisikia ukae, uende sio issue. Tunakaribia anivesary ya 28yrs in mariage lakini angelegea ingekuwa story
Ujue mwanaume ukishamjua hatakiwi kukusumbua, sasa wako huyo irresppnsible basi nenda nae kikomandoo. Dont male his miatakes destroy your life n your kids life. You are stronger than that.
Stop WHINING HERE ingia zoom anza ku apply kazi. All our sympathy cant pay schoolfeez to your kids.

Lara 1 anatamani sanaaa kuolewa! Nisiongee mengi manake kuna issue serious hapa ila kingasti na miss neddy, JICHO TAI, muke ya muyahudi, nadhani mmwnisoma hii line ya mwisho

shida yako mawenge mengi, leo unasema hivi kesho unakurupuka na jingine umebadilika kabisaaa! mimi ninani hata nikuhukumu? kwa ajili yako Yesu alikufa msalabani, if you have changed and come to line who am I to say that Mr right wont come? najua ingawa umetumia ujana wako sana kama unavyosema but im sure you have not worn that much that you cant be married! shida yenu wachaga your very selective! eventually utapata koroma! mimi nimeoa uchagani so I know what im saying. Wewe umeweka pesa mbele kama tai. U can get a decent man ambaye you can make life together. I have good testimony I cnt say hear but if your real serious you can find me. usije kuta nilioa mdogo wako!!
 
Hahaaaaaa! Hilo la kutumia ujana wangu sanaa mwasema nyie! Haina MILLAGE ile. Na kuhusu kupata koroma i always say ANAEGAWA RIZIKI NI MUNGU PEKE YAKE, BINADAMU YETU MANENO TU!
 
tuko tofauti hata kimtazamo hatuwezi kufanana hiyo peke yake inaonyesha jinsi gani ulivyo special
olewa uongezee kwa uzoefu
ndoa sio kama mchezo wa pata potea hasa ukimpata right person for the right reason na ukiolewa by choice not by chance
Tooo theoretical!
 
Mmmmmmmmh! Acha kupoteza muda, TAFUTA KAZI, PANGA NYUMBA, JITUTUMUE KUWAPA WATOTO MAISHA! Mtegemea cha ndugu hufa masikini.
Kuachika si kilema au kifo! Ni stage tu ya maisha. Ukisimama vizuri kiuchumi atardisha tu FREE PUMB zake sooner than you expect.
Ku moarn kupp ila usizidishe you are being SELFISH! YES VERY SELFISH to your kids, punishing them without your knowledge for their fathers mistake.
Be inspired with Mama Lara 1, mwenzio kafuga kuku sanaaa, anafanya kazi mpaka saa 5 usiku na zingine anarudi nazo home, WITH OR WITHOUT DADY LIFE WILL ALWAYS BE THE SAME AND THE BEST IN LIFE IS NOT AN OPTION FOR HER KIDS! My dad nae alizamiaga nje, akakuta bi mkubwa yupo larger than ever, ana mjengo wake, na maisha bomba kabisaaa! Akamuuliza tu ndo umerudi jumla au unapita mwenzangu? Sie tupo utavojisikia ukae, uende sio issue. Tunakaribia anivesary ya 28yrs in mariage lakini angelegea ingekuwa story
Ujue mwanaume ukishamjua hatakiwi kukusumbua, sasa wako huyo irresppnsible basi nenda nae kikomandoo. Dont male his miatakes destroy your life n your kids life. You are stronger than that.
Stop WHINING HERE ingia zoom anza ku apply kazi. All our sympathy cant pay schoolfeez to your kids.

Lara 1 anatamani sanaaa kuolewa! Nisiongee mengi manake kuna issue serious hapa ila kingasti na miss neddy, JICHO TAI, muke ya muyahudi, nadhani mmwnisoma hii line ya mwisho

Una mbwembwe wewe
 
Last edited by a moderator:
Dont cry and dont allow to be comfused hata kidogo... wewe anza kujipanga upya usiogope kuanza upya okey mamy.... make sure u and child are okey and never think about that sheeet sory he was used to be your husband...... now its u start again mwanzo mgumu lakini utaweza tu
 
Mwenyewe kasema kafukuzwa kwemye nyumba sababu alitaka muua mumewe!

Sent from my iPhone using JamiiForums app

kamwe sina ujasili huo wa kuua mtu hata anitendee nn ndio maana nikasema kuna imani potofu alopandikiziwa na rafiki zake na kwa nn nimuue mtu ninaye mpenda tena zaidi ndio baba wa watoto wangu? siwezi fanya hivyo na sitakuja fanya hivyo milele naamini Mungu yupo iko siku atamfungua na kumpa macho ya kiimani na kumrudisha ktk njia sahihi akimtenga na giza alilonalo sasa na kumleta nuruni.
 
Dont cry and dont allow to be comfused hata kidogo... wewe anza kujipanga upya usiogope kuanza upya okey mamy.... make sure u and child are okey and never think about that sheeet sory he was used to be your husband...... now its u start again mwanzo mgumu lakini utaweza tu

asante miss chaga ni kweli kama nikulia nimelia zaidi ya miezi miwili sasa ili hali bado nikiwa nakidonda cha uzazi hakijapona lkn kwa sasa kidogo naanza zoea hii hali kwani nimejua hata mtoto anateseka pia kwa kukosa maziwa kwani chakula kilikuwa hakipiti njaa ya uzazi sikuisikia matokeo nimeambulia vidonda vya tumbolkn kwa ushauri wenu wana mmu naanza pata ujasiri wa kusonga mbele,asanteni
 
Karibu tena
 
Hahaaaaaa! Hilo la kutumia ujana wangu sanaa mwasema nyie! Haina MILLAGE ile. Na kuhusu kupata koroma i always say ANAEGAWA RIZIKI NI MUNGU PEKE YAKE, BINADAMU YETU MANENO TU!

ah ah ah ah eti hainaga millage! unachakaa ujue mrembo! tafutata wako utulie basi
 
Back
Top Bottom