dvedastuss
Member
- Apr 3, 2014
- 35
- 11
- Thread starter
- #21
Pole mamy.
Ni mume wa ndoa au?
Ndio ni mume wa ndoa tena ya kanisa ni RC
Pole mamy.
Ni mume wa ndoa au?
Polee tafuta watu wazima wenye busara wakaongee nae
Ameamua kukuacha wewe uteseke na watoto yeye akale maisha ng'ambo. Fanya juu chini watoto ishi nao wewe kwani watakua faraja kubwa sana kwako na utasahau maumivu haya. Muombee mafanikio aendako lakini kuna siku atakurudia kwa magoti akijitambua yu mkosaji.
Tumia sheria sasa wale watu wa haki za binadamu especially mambo ya wanawake hiyo ndoa ishakua ngumu kwahiyo tetea furaha yako kwa wanao
Pole................ haya mambo haya
mhhh kuna jambo nyuma ya pazia sio buree hapa.
haiwezekani maamuzi magum kama hayo mumeo ayachukue bila kuwa na kisababishi .
kuna jambo unalificha hapa ambalo ndio msingi na ndio chanzo cha matatizo haya yoote
Mmmmmmmmh! Acha kupoteza muda, TAFUTA KAZI, PANGA NYUMBA, JITUTUMUE KUWAPA WATOTO MAISHA! Mtegemea cha ndugu hufa masikini.
Kuachika si kilema au kifo! Ni stage tu ya maisha. Ukisimama vizuri kiuchumi atardisha tu FREE PUMB zake sooner than you expect.
Ku moarn kupp ila usizidishe you are being SELFISH! YES VERY SELFISH to your kids, punishing them without your knowledge for their fathers mistake.
Be inspired with Mama Lara 1, mwenzio kafuga kuku sanaaa, anafanya kazi mpaka saa 5 usiku na zingine anarudi nazo home, WITH OR WITHOUT DADY LIFE WILL ALWAYS BE THE SAME AND THE BEST IN LIFE IS NOT AN OPTION FOR HER KIDS! My dad nae alizamiaga nje, akakuta bi mkubwa yupo larger than ever, ana mjengo wake, na maisha bomba kabisaaa! Akamuuliza tu ndo umerudi jumla au unapita mwenzangu? Sie tupo utavojisikia ukae, uende sio issue. Tunakaribia anivesary ya 28yrs in mariage lakini angelegea ingekuwa story
Ujue mwanaume ukishamjua hatakiwi kukusumbua, sasa wako huyo irresppnsible basi nenda nae kikomandoo. Dont male his miatakes destroy your life n your kids life. You are stronger than that.
Stop WHINING HERE ingia zoom anza ku apply kazi. All our sympathy cant pay schoolfeez to your kids.
Lara 1 anatamani sanaaa kuolewa! Nisiongee mengi manake kuna issue serious hapa ila kingasti na miss neddy, JICHO TAI, muke ya muyahudi, nadhani mmwnisoma hii line ya mwisho
Ni sawa ila je nitamsimamisha nani kumshitaki wakati yeye atakuwa hayupo kwani nimekuja kujua too late kwangu kuwa anaenda n'gambo yani mpk sasa amebakiza kama siku tatu kuondoka
Ndio ni mume wa ndoa tena ya kanisa ni RC
Umenena mkuu, hii post yake haiko wazi sana.mhhh kuna jambo nyuma ya pazia sio buree hapa.
haiwezekani maamuzi magum kama hayo mumeo ayachukue bila kuwa na kisababishi .
kuna jambo unalificha hapa ambalo ndio msingi na ndio chanzo cha matatizo haya yoote
To begin with get a job.
Get a house, move out of your relatives homes.
Get custody of your kids.
You can make it on your own, Just pray and work hard at whatever you do.
No matter what, don't let your kids see you at your worst.
Good Luck.
Mmmmmmmmh! Acha kupoteza muda, TAFUTA KAZI, PANGA NYUMBA, JITUTUMUE KUWAPA WATOTO MAISHA! Mtegemea cha ndugu hufa masikini.
Kuachika si kilema au kifo! Ni stage tu ya maisha. Ukisimama vizuri kiuchumi atardisha tu FREE PUMB zake sooner than you expect.
Ku moarn kupp ila usizidishe you are being SELFISH! YES VERY SELFISH to your kids, punishing them without your knowledge for their fathers mistake.
Be inspired with Mama Lara 1, mwenzio kafuga kuku sanaaa, anafanya kazi mpaka saa 5 usiku na zingine anarudi nazo home, WITH OR WITHOUT DADY LIFE WILL ALWAYS BE THE SAME AND THE BEST IN LIFE IS NOT AN OPTION FOR HER KIDS! My dad nae alizamiaga nje, akakuta bi mkubwa yupo larger than ever, ana mjengo wake, na maisha bomba kabisaaa! Akamuuliza tu ndo umerudi jumla au unapita mwenzangu? Sie tupo utavojisikia ukae, uende sio issue. Tunakaribia anivesary ya 28yrs in mariage lakini angelegea ingekuwa story
Ujue mwanaume ukishamjua hatakiwi kukusumbua, sasa wako huyo irresppnsible basi nenda nae kikomandoo. Dont male his miatakes destroy your life n your kids life. You are stronger than that.
Stop WHINING HERE ingia zoom anza ku apply kazi. All our sympathy cant pay schoolfeez to your kids.
Lara 1 anatamani sanaaa kuolewa! Nisiongee mengi manake kuna issue serious hapa ila kingasti na miss neddy, JICHO TAI, muke ya muyahudi, nadhani mmwnisoma hii line ya mwisho
What makes me special kiliko jirani? Mchezo wa pata potea hu!azingatie ushauri wako huu asonge mbele kuhakikisha watoto wanapata basic needs kama awali chakarika usilie usilie dvedastuss kumbuka watoto wanakutazama wewe okoa jahazi lisizame ingawa nahodha kawaacha wenyewe usimlaumu maji yameshamwagika na kuanza upya si ujinga bidada dvedastussBACK TO YOU
lara 1 jirani akishindwa vita haimaanishi na wewe uvunje jeshi unasonga mbele kivyako mbinu za kumkabili adui hazifanani
Ni sawa ila je nitamsimamisha nani kumshitaki wakati yeye atakuwa hayupo kwani nimekuja kujua too late kwangu kuwa anaenda n'gambo yani mpk sasa amebakiza kama siku tatu kuondoka
Mkuu tena huyo jamaa atakuwa Ishomile-MHAYA. Mtu kaandika kiswahili halafu anamjibu kwa kingereza. Huo ni ushamba bora angekaa kimya!Wewe kweli Pungu! Mwenzio hajui kiingereza tena kaandika kwa kiswahili ili ashauriwe wewe umemwelewa kisha unajifanya unaandika kiingereza.Lugha ni mawasiliano ya kumwelimisha mtu apate kuelewa au mpate kuelewana na sio kuongea tu kama mlevi wa gongo.