Jamani pambaneni na hali zenu za kimasikini ya mo na saidi tuwaachie wenyewe,acheni kuingilia mambo ya watu waliofanikiwa kimaisha
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuwa muelewa hakumaanisha hivyo povu la Nini,ukweli wasomi wengi wa Tanzania ni wajinga wa maisha na mawazo,ndio maana hata bungeni mbunge Msukuma anauwezo wa kujenga hoja na kuisimamia japo ni standard 7 kuliko hata hao wasomi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Umeongea mkubwa,wasomi wengi hawana nidhamu ya pesa,mfano mtu amepata mkopo kapewa oficn Jambo la Kwanza aranubua harie badara ya kuifanyia kazi,jingine mtu aliesoma commerce hawezi kujilipua wanabaki na makanuni Yao kichwani.
Sent using Jamii Forums mobile app
Acha uongo na ujinga husipende kutetea mtizamo wako Acha kuangalia mamilionea wachache wenye elimu ya juu,Kuna matajili wengi humu nchini wenye elimu Mali wameikuta kutoka kwa BB zao,angalia watu wenye kujimuda kimaisha wakati ni wengi wenye helimu ndogo standard 7 na 0 level,njoo Kkoo wenye...
Acheni uzwazwa nyie mna Nini ktk ulilwengu wa tehama hapa bingo kitu gani made Saudia au Iraq,mmeshikwa mabaya jaribuni muone
Sent using Jamii Forums mobile app
Hebu fanyeni yenu acheni siasa za majalalani,kuongoza nchi si sawa na kukiongoza chadema juzi tu Kuna nchi moja ya ulaya imetoa mabilioni kwa kufuraishwa na udhibiti na usimamizi mzuri wa fedha unaofanywa na magufuri..
Sent using Jamii Forums mobile app
Walitaka akae kiboya hili Baba zao waliokua wakilitafuna taifa wamlipize kisasi,Tena hikibidi ataongezewa hata majini yamlinde
Sent using Jamii Forums mobile app
Huo ni ujinga hizo ni hesabu za kipumbavu,hata mbinguni Kuna madalaja kwa stutus yake ulitaka wajae walinzi wa 4 kwa gharama ya laki3?
Sent using Jamii Forums mobile app
Matajiri wa kilimanjaro nao ni majambazi ya kutumia bunduki hawaoni shiida kuua mtu hili mradi apate fedha hawaoni hatari kukudhukumu hili tu awe tajiri,si bora ya mkinga hata akiuwa ni ndugu yake kuliko kutoa uhai wa mtu huna uhusiano nae,mfano mauaji ya bilionea msuya
Sent using Jamii Forums...
Kusini haswa mkoa wa ruvuma matajiri wa mabasi ya mikoa hii wapo makini kufuatilia mabasi yao,huwezi ukasikia super feo hau kampuni nyingine yeyote eti basi limeshindwa kupandisha mlima au betry mbovu,hii inatokana na jiografia ya mikoa ya kusini haswa milima na viunzi njiani sasa kwa kuzingatia...
Mtaongea saana kipindi hiki,wakati mawaziri wa mikoa ya kilimanjaro walipokua wakihujumu inchi na kwenda kuendeleza wilaya za kasikazini wala hamkupiga kelele,mfano david creopa msuya nenda mwanga kuna lami mbk vijijini,waziri mmoja wa fedha kutoka rombo kashiliki kuhujumu ATCL mradi tu ndege...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.