Serikali yaanza kugwaya kwa 'utajiri' walioutangazia ulimwengu, Tanzania kukosa mikopo nafuu na misaada

Wakati IMF waki dispute takwimu za ukuaji wa uchumi wa asilimia 7 na wao kusema asilimia 5.2 mwaka jana wewe bado ulikuwa Kolomije nini?
Kuna sehemu walishutumu Tanzania kwa upikaji wa uchumi kama wanavyoshutumu nchi zingine ?
Hizo taasisi si zilikuwa zinajikanyaga zenyewe.
 
Mwalimu Nyerere aliwahi kusema, "Ili tuendelee tunahitaji watu, ardhi, siasa safi na uongozi bora"
Pia alisema " Pesa si msingi wa maendeleo bali ni matokeo yake"
Hawa wachumi wanaposema tukusanye pesa zaidi je wanaijua falsafa ya Mwalimu.
Ardhi tuliyonayo ni kwa ajili ya kulima na viwanda ni matokeo ya kufanikiwa kwa kilimo.
Kilimo kitaleta fedha za kigeni lakini ukusanyaji wa kodi za ndani hauongezi fedha za kigeni moja kwa moja.
Ili tufanikiwe tuitumie ardhi yetu kikamilifu kwa kuwekeza zaidi kwenye Kilimo kuliko kitu chochote kile.
Uwekezaji tunaoufanya sasa ni mzuri sana lakini unatakiwa ufanywe baada ya kilimo kufanikiwa na kuwa kilimo cha kimataifa na si cha jembe la mkono.
Tukiendelea kutoimarisha kilimo chetu, ukuaji wa uchumi wetu utakuwa si endelevu na tutaendelea kuwa na vijana wengi mitaani walio na elimu ya juu na wasio na elimu kabisa wakizurura mitaani.
Sasa hivi mazao ya wakulima pamoja na kuwa ni machache lakini yanakosa soko na pengine kwa sababu hayako kwenye ubora unaotakiwa kimatifa au Serikali imeweka urasimi katika watu kujitafutia masoko wenyewe.
Bado kilimo ni uti wa mgongo wa Uchumi wetu lakini hatuutendei haki kwa kuutangaza kama tunavyofanya katika kutangaza ukusanyaji wa kodi, viwanda, elimu, afya, ndege, barabara, madaraja nk.
 
@johnthebaptist
Kawe Alumni
Ole
stroke

Ova

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna sehemu walishutumu Tanzania kwa upikaji wa uchumi kama wanavyoshutumu nchi zingine ?
Hizo taasisi si zilikuwa zinajikanyaga zenyewe.
Hahaha acha ubishi mzee. Mbona unachobishia ni kweli kilitokea? Labda ulisahau kama ilitokea ila hilo swala la Tz kudaiwa tumepika takwimu za ukuaji uchumi lilitokea.
 
Hahaha acha ubishi mzee. Mbona unachobishia ni kweli kilitokea? Labda ulisahau kama ilitokea ila hilo swala la Tz kudaiwa tumepika takwimu za ukuaji uchumi lilitokea.
Taasisi mbili tofauti zilitoa takwimu mbili todauti,
Hakuna sehemu Tanzania ilishutumiwa kupika uchumi wake,
Niletee link ya taasisi mojawapo kati ya hizo iliyoshutumu Tanzania kupika uchumi.
 
Mnadhani China yeye ni fala anapojitangaza kila siku kuwa yeye bao ni nchi masikini na inayoendelea? Huwa mnamuona kichaa anapong'ang'a kuwa kundi moja na Tanzania kimaendeleo?
Mkuu matatizo yetu tofauti na yao.Sisi hatujiamini Raisi anachofanya ni kutujenga imani kwa mifano hai kuwa tusiwe wanyonge kihivo.Wachina tayari wanajiamini ,wao wanachofanya ni kuficha uwezo wao ili kukwepa majukumu ya kuchangia Misaada mbalimbali ya kimataifa kwa nchi maskini.
 
Nadhani kawaida ya watu wa kanda ileee pendwa kupenda sifa. Siku jamaa toka huko akinunua baiskeli,redio ya mkulima,nguo za dukani na mwanamke mweupe!! Mtajua mtaa mzima. Wengi tunamkumbuka bwana mapesa, mzee wa vijisenti, milioni 10 kuwa hela ya matembele.... Sio kila kundi la watu lazima atoke mtawala, zipo koo za kifalme toka enzi na enzi.
 
Ishu kubwa ni deni kubwa hivo wanaogopa kukopesha Dr kaongea kisomi kusikoeleweka na malayman.
 
Nadhani kawaida ya watu wa kanda ileee pendwa kupenda sifa. Siku jamaa toka huko akinunua baiskeli,redio ya mkulima,nguo za dukani na mwanamke mweupe!! Mtajua mtaa mzima. Wengi tunamkumbuka bwana mapesa, mzee wa vijisenti, milioni 10 kuwa hela ya matembele.... Sio kila kundi la watu lazima atoke mtawala, zipo koo za kifalme toka enzi na enzi.
True hata ukisoma colonial system waliliona hilo zipo jamii si wazuri kwenye reasoning matumizi ya akili bali ni wazuri kwenye mannual labour waliwatumia kwenye mashamba ya katani,pamba,miwa na makuli bandarini.Hata awakutaka kupotesha resources za kuwaendeleza kielimu waliona jamii hizo zafaa kwa matumizi ya nguvu zaidi
 
Hapana. Hatujafika huko mkuu.
Wapo vinara wa hali hiyo kati ya majirani zetu, lakini bado wanakopesheka. Ethiopia juzi tu kazoa Bilioni mbili na ushee; na Kenya kaokota zaidi ya $1.9 bilioni toka kwa hao hao IDA.
Hawa wote Ethiopia na Kenya wana madeni ya zaidi ya nusu ya pato lao (GDP), Kenya wapo zaidi ya asili mia 59; Ethiopia ni zaidi ya hapo. Hata Uganda wako mbali sana nasi.

Ujue, tukikosa mikopo sasa hivi kuna sababu nyingine, sio ya kutokopesheka.
Sie donor country tambo nyingi mikopo ya nn sasa?
 
December 6, 2019
Dodoma, Tanzania

Umasikini Umepungua Vijijini -Ripoti ya Ofisi ya Taifa ya Takwimu

Mkurugenzi Mkuu wa Ofisi ya Taifa ya Takwimu (NBS) Tanzania atoa ripoti ya tathmini kuhusu hali ya umasikini nchini Tanzania. Ripoti hiyo imetayarishwa kwa pamoja kati ya Ofisi ya Taifa ya Takwimu na Benki ya Dunia.

Leo umefanyika uzinduzi wa ripoti ya tathmini ya hali ya umaskini Tanzania bara ambapo imeelezwa kuwa Tanzania imefanikiwa kupunguza kwa kiasi kikubwa tatizo la umaskini kutoka asilimia 28.2 mwaka 2012 hadi kufikia asilimia 26.4 mwaka 2018. Mkurugenzi Mkuu Ofisi ya Taifa ya Takwimu (NBS) Dk. Albina Chuwa amesema matokeo ya kupungua kwa umaskini yametokana na ongezeko la ubora wa elimu, huduma za kijamii, umiliki wa mali, ukuaji wa kilimo na ukuaji wa viwanda.
Source: Millard Ayo
 
December 3, 2019

Mtaalamu : Uchumi wa mwananchi awamu ya 5, umepanda na upo bora zaidi kuliko kipindi chochote

Mtaalamu wa Mbobezi wa uchumi, masuala ya kibenki/ fedha, uchambuzi wa takwimu na Mkufunzi Bw. Omar Mahinya akielezea hali ya Tanzania kiuchumi kupaa kufuatia kuwa nchi sasa ina data za uhakika yaani statistics kuthibitisha hilo.

Omar Mahinya anakwenda mbele na kusema sasa kuna unafuu wa maisha. Ndiyo maana wananchi wameweza kuchangia kodi zaidi hivyo sifa ziende kwa wananchi kuchangia trilioni 1.7 kila mwezi TRA, ambayo ni rekodi haijawahi kufikiwa.

Anasema mtaalamu wa huyo ambaye pia ni mkufunzi aliyefanya kazi ktk taasisi kadhaa za kibenki ikiwemo Benki Kuu ya Tanzania - BOT kuwa ununuzi wa ndege kadhaa, ujenzi wa reli ya SGR, madaraja ya juu kwa juu, zahanati na hospitali zimejengwa, migodi ya madini inazidi kuchangia uchumi hivyo yote yamefanya alichokiita stand of living kwenda juu zaidi na kuleta unafuu wa maisha.

Mchumi Omar Mahinya amwaga sifa kede kede kwa Jakaya M. Kikwete kumuwekea mazingira mazuri yanayomwezesha Mh. John Pombe John Magufuli kuweza kutenda mambo yote makubwa ya miundo mbinu, elimu bure msingi mpaka sekondari, Bilioni 400 za mikopo kwa elimu ya juu, huduma za afya na yote hayo yameleta unafuu mkubwa kwa maisha ya mtanzania ktk kipindi hiki cha utawala wa awamu ya 5 mchumi huyo bobezi ktk fani anamalizia uchambuzi wake.

Omar Mahinya ana ongeza sasa kazi kwetu vijana baada ya huduma zote hizi za kijamii na elimu buree, tujikite ktk kujiajiri maana elimu tumepewa sasa ni kujifungulia viwanda au kujiingiza ktk kilimo bora, uvuvi, ufugaji n.k kujiari ili kutumia elimu yetu kujiletea maendeleo, serikali imefanya majukumu yake sasa nasi tujitume kwa kujiari wenyewe.

Source: DARMPYA TV
 
Kipimo kikubwa cha maendeleo katika taifa ni kipato au uchumi wa taifa na mtu mmoja mmoja vile vile afya ya wananchi wa taifa hilo …
Kwa mfano nchi zinazoendelea kama Tanzania kuna watu wanaishi chini ya dolla 1$ kwa siku ambayo ni pesa ndogo sana…
Hospitali vifo vya mama wajawazito na watoto bado ni vingi sana nayo hiyo ni sababu ya kuijua nchi inayoendekea na iliyoendelea
 
Tanzania hatupati mikopo kwa sababu ya masharti ambayo yanakuja na string attached ambazo either hatuzikubali au hatuzitimizi lakini sio kwamba eti tuna deni kubwa.
Huku ndio kujitoa akili.
Mtu na heshima yako unatoa visingizio hafifu kama hivi na bado unajibaraguza kuwa wewe ni "MsemakwejiUkweli" na kuitendea haki taaluma yako!
 
Back
Top Bottom