Recent content by Dungamnyama

  1. D

    JamiiForums Tanzania Star Tv ndani ya Azam Tv now

    Samahani nami nimeona Startv ila haionyeshi niliweka kifurushi cha 15000.
  2. D

    JamiiForums Tanzania Christopher Alex anasumbuliwa na nini ?

    R.I.P Christopher Alex Maarufu kama Masai. Jamaa amefariki leo hii
  3. D

    JamiiForums Tanzania Nahitaji mume

    Nitafute0712101570
  4. D

    JamiiForums Tanzania WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    Mimi nipo Idara ya,sekondari MNispaa ya Mtwara nahitaji kuja manispaa ya morogoro au Tanga piga 0719330433
  5. D

    JamiiForums Tanzania Mkaka wa kuchati nae tu anatakiwa

    Chat nami 0719330433 karibu
  6. D

    JamiiForums Tanzania Dr Bana apumzike kutoa maoni katika maswala ya kitaifa

    Huyo Dr. Ameshachoka akili ndio maana hua hana jipya zaidi ya kuonyesha hisia ma mihemko chanya kwa CCM na kusahau nafasi yake ya ushauri na utoaji wa maoni kama mmoja kati ya wataaluma waandamizi katika maswala ya siasa. Kweli Tanzani ina baadhi ya wasomi wafuata upepo
  7. D

    JamiiForums Tanzania Yaliyojiri Bungeni Dodoma: Jumatano, January 28

    Ushauri wa bure kwa mama Makinda AJITAHIDI KUSOMA ALAMA ZA NYAKATI, PIA ATAMBUE BUNGE NDICHO CHOMBO PEKEE KINACHOTOA KAULI KWA NIABA YA WANANCHI.ALUKYA NA SABABU GANI KUGOMEA HOJA YA DHARULA ILIYOWASILISHWA KWAKE NA MH.MBATIA JUU YA POLISI KUWAPIGA WAFUASI WA CUF NA MWENYEKITI WAO BWANA PROF...
  8. D

    JamiiForums Tanzania Vurugu bungeni zasababisha Bunge kuahirishwa asubuhi hii

    Kiukweli busara bado inaonekana kwa hawa wenzetu wa usalama wa raia muda mwingi hudhabi kutumia nguvu nyingi ndio suluhisho la matatizo kumbe wanaendelea kupandikiza chuki na visasi baina yao na raia wema
Back
Top Bottom