Ataiiba wapi....labda hizo za asali na viungoUna bikra
Hasheem Thabeet aliwahi kuwa mrefu kuliko watu wote pale MAKONGO SCH! lkn ameonekana ana kimo cha kawaida tu pale NBA
[/QUOTE]Niko hapa tayari
Kwa mara ya kwanza naingia humu kumtafuta ambaye atakuwa wa mtu wa karibu maishani kwangu.Nina miaka 29, ni mkristo ninafanya kazi katika Shirika binafsi nina elimu ya Diploma.
Nahitaji mwanaume awe mkristo preferably RC awe na shughuli inamuingizia kipato,mrefu na awe na umri kuanzia miaka 31-39.
Tafadhali aliye serious naomba ani PM.
[/SIZE]
vigezo na masharti kuzingatiwa
Wafupi tuna shiiiiidaaah
Urefu na ufupi wa mtu na Roman Catholic are the absolute wrong things unatafuta kwa mwanaume masikini ya Mungu, you have a long long way to go kuelewa watu na utu na tabia na ndoa na chemistry za binadamu.