Recent content by dumejm

  1. dumejm

    Wakuu hawa FIC ni mchongo au ni Ponzi (utafiti wangu mdogo)

    Hivi karibuni (takribani miezi mitatu sasa) nimeshuhudi baadhi ya watu huko mitaani wakijihusisha na uwekezaji katika jukwaa linalofahamika kama FIC (wenyewe wanawaita Football investment Charity) huku wakimwaga sifa kwamba mabwana hawa (FIC) wanalipa na ni mchongo legit kwa sasa. Kutokana na...
  2. dumejm

    Vifurushi vya intaneti 'visivyo rasmi' kwa kampuni za simu

    Ukiunga bando la kifahari kwa mwezi unapiga unlimited ya zaidi ya 179GB kwa mwezi speeed ile ile for only 50k
  3. dumejm

    Rais Samia CCM watoe amri mfumo wa PEPMIS usimame kwanza mpaka pale mtandao wao utakapokuwa na nguvu

    Inaonekana hawakujipanga vizuri, Wametengeneza mfumo unaotumia Server resources kubwa kuliko walizo nazo ,
  4. dumejm

    TAMISEMI mmeamua kunifilisi kwa kuninyima uhamisho!

    Ulivyoandika kirahisi, unaweza sena huo uhamisho kwenye ESS ni rahisi namna hiii
  5. dumejm

    Naomba mwenye link ya matokeo ya kachaguliwa kidato cha kwanza mwaka 2024 atume

    https://www.tamisemi.go.tz/announcement/uchaguzi-wa-wanafunzi-wa-kidato-cha-kwanza-2024
  6. dumejm

    Naomba mwenye link ya matokeo ya kachaguliwa kidato cha kwanza mwaka 2024 atume

    Haya hapa Form One Selection 2024 - Waliochaguliwa Kidato Cha Kwanza 2024 - Lokonewz.com - Welcome to LokoNewz
  7. dumejm

    CBG anaweza kusoma course za afya katika vyuo vya Private?

    Unapiga PHARMACY, NURSING, ENVIROMENTAL HEALTH,
  8. dumejm

    TCRA watajuaje kama natumia VPN?

    Naona ndio maana wanambania bwana X(elon musk) kuleta intaneti yake
  9. dumejm

    Miaka 8 bila kazi, tangu nimalize chuo kikuu

    Kweli penye miti hapana wajenzi, nimesomea degree tofauti na masuala ya IT lakini baada ya kumaliza chuo nikagundua fursa kwenye hizo nyanja za IT na nimeweza kutengeneza mpunga wa kutosha kwa kujiongeza na kujifunza vitu vidogo vidogo vya IT online ambavyo nimeweza kuvifanyia kazi na kupiga...
  10. dumejm

    Msaada wa ndoto hii inayonisumbua kila siku

    Hizi ndoto wakati mwingine zinamaanisha ni onyo kwamba unatakiwa kubadirika... kuna mienendo ya maisha unaishi unatakiwa kubadirika... usipo badirika kuna mambo yanaweza kukuta/kukutokea huko mbeleni,
  11. dumejm

    Natafuta mtaalam wa kunisaidia kupata ajira na kuniondolea gundu

    Haya mambo yapo mkuuu usiombe yakukute... mkuu.. niliomba ajira kwa miaka 5 bila mafanikio kuna wakati unapiga intavyuu unahisi umetoboa kabisa ila wapiii, lakini nilikuja kufanikiwa ndani ya mwezi mmoja tuuu... nilishaomb ajira mpaka nika kata tamaa nikaamua kufanya shughuli nyingine kitaa...
Back
Top Bottom