Black listed
Senior Member
- Apr 6, 2023
- 182
- 253
Inaweza kuwa upo nyuma kiimani kama jamaa alivyosema hapo awali, lakini pia inaweza kuwa umechelewa kimaisha. Huenda unawaona watu uliosoma nao shule ya msingi, sekondari; wao wapo mbele kimaendeleo zaidi yako. Akili imeumbwa kuchakata taarifa za mambo uliyoyaona kwa macho na hatimaye hukupa mrejesho kwa njia ya ndoto!