Recent content by Dumbuya

  1. Dumbuya

    Kampuni za mabati za kuziogopa

    Kwa uzoefu wangu, ukikosa ALAF pambana angalau upate Sunshare..hizo nyingine ni changamoto.
  2. Dumbuya

    Kujenga nyumba na kununua magari ni sababu mojawapo ya Umasikini

    Asante mkuu..Ndicho nilichokuwa nashangaa na mimi pia.Hiki anachoongelea mtoa mada ni cha nadharia tu na siyo uhalisia. Mtaani hata kukopesheka hiyo Mil.100 ni kipengele.Kati ya wabongo 1,000 ni mmoja au wawili wana dhamana na biashara/cashflow ya kuweza kukopa Mil.100..
  3. Dumbuya

    Kujenga nyumba na kununua magari ni sababu mojawapo ya Umasikini

    Haya ni mawazo nadharia yaani theoretical.. 1. Hizo Mil 100 za kuweka UTT anapata wapi ?? 2. Fine, umesema anakopa hizi Mil.100..Je, anapata wapi dhamana ya kukopa Mil.100?? 3. Sawa, Akikopa Mil.100, anakuwa na jukumu la kurejesha riba around 15 ~ 18% kwa mwaka.Let's say ni 15%, hapo anakuwa...
  4. Dumbuya

    Kujenga nyumba na kununua magari ni sababu mojawapo ya Umasikini

    Hakika nakuambia ukiwapa waTz 10 hata wenye hiyo elimu ya fedha Mil.60 baada ya miaka 4 ukija kuwathaminisha ni 1 au wawili ndio watakuwa na angalau 10Mil kwenye akaunti zao. Hizi biashara tuheshimu pia, siyo rahisi kihivyo..kila siku watu wanateketeza mitaji.Mmeshasahau ya Kkoo na TRA ...
  5. Dumbuya

    Saudi Arabia Miseries: Video inayoonyesha wanawake wanaonyonyesha mbwa nchini Saudi Arabia yawakasirisha Wakenya

    Ile video ni ukatili..Hakuna dini/imani inayohamasiha ukatili wa kiwango hiki.
  6. Dumbuya

    Driving enthusiasts, Iyovi endesha ukiwa umetulia!

    Iyovi...Hata mimi nilijua hivyo ila nakumbuka January 07 2021..Dereva dei waka wa basi 'pendwa' aliikata Iyovi spidi 90 ~ 110Km/h,sikuamini mpaka nilivyoiona mikumi hii hapa.. Barabara hizi ni uzoefu..wewe na mimi tu apita mara 2 mpk 4 kwa mwaka ila kuna wababe wanapita kila siku 2 wanajua...
  7. Dumbuya

    Watu wengi hawana uelewa kuhusu UKIMWI

    Msisitizo na hamasa ya Elimu kuhusu huu ugonjwa wa UKIMWI kwa kweli umeshuka mno..ni kama haipo kabisa.Nikikumbuka miaka ya mwanzoni mwa 2000 kampeni zilikuwa kila sehemu (ishi,Jilinde n.k,Taasisi za Angaza,Semina mbalimbali hata na nyimbo (Starehe - Ferouz,Usione soo n.k)
  8. Dumbuya

    Naomba ufafanuzi kuhusu gari aina ya Harrier 240G

    Nadhani kufika sasa ziachwe kuitwa New Model kwanza..then tuongee hayo mengine.
  9. Dumbuya

    Msaada naomba kujua duka la Spanish tiles hapa DSM

    1. Dar Ceramica pale karibu na Clouds kwenye daraja la Jkt.. 2. Inara ceramics hapo Makumbusho
  10. Dumbuya

    Gharama za ujenzi TZS 13M

    Mkuu...Kwa kutokuwa na kumbukumbu ya vitu vingi hivi vya muhimu katika ijenzi..unawezaje kukumbuka jumla ya gharama ?? Naomba niwe wa mwisho kuamini hili..
  11. Dumbuya

    Gharama za ujenzi TZS 13M

    Skim kwanza na maliza shughuli za juu kisha ndo uanze na Tiles chini.Hii inaokoa kuvunja tiles kwa kuweka ngazi n.k juu yake wakati wa kuskim/rangi.
  12. Dumbuya

    Nawezaje kushikilia msimamo wangu bila kuwakwaza wazazi?!

    Kwani ufamasia siyo Ujasiriamali ?? Ajira imewekwa reserve kwa ajili yako ili ukimaliza "ujishikize" ??
  13. Dumbuya

    Kutana na fundi rangi, kuna mengi ya kujifunza

    Unapiga rangi tu au na skimming ?? Conmix unaweza ??
  14. Dumbuya

    Gharama za kuskimu nyumba hii

    Mkuu umedadavua vizuri.. Swali la ufahamu : Kwa Ndani atumie Wall putty au White cement na kwanini ??
Back
Top Bottom