Recent content by dullah H

  1. dullah H

    JamiiForums Tanzania Natafuta Mpenzi/Mume Mtarajiwa

    Umempata, nipo hapa
  2. dullah H

    JamiiForums Tanzania Mjadala kuhusu kuzima simu bandia unaendelea live TBC1

    Duh ni sheeder
  3. dullah H

    JamiiForums Tanzania Ninatafuta mpenzi/mume nipo serious

    unajua dadaangu sometimes vigezo vingi vinaweza kusababisha kumkosa mwenye mapenzi ya dhati,,,,,,,,,,! kwani Mungu anaweza kukupatia WA dini tofauti ila akawa na mapenzi ya kweli, ila kwa kuwa wewe unamtaka mkristo ikawa shida tena!
  4. dullah H

    JamiiForums Tanzania Ninatafuta mpenzi/mume nipo serious

    Nina imani utampata Huyo unaemtaka, ila fahamu kuwa mapenzi hayachagui rangi, kabila, dini, n.k. Mungu akutangulie ktk safari yako ya kumpata Huyo......!
  5. dullah H

    JamiiForums Tanzania Hapa Rais mstaafu Kikwete sikumuelewa, "Mkimchagua Magufuli nitalala usingizi"

    alijua kabisa chama cha ccm kitakufa endapo makufuri asingechaguliwa
  6. dullah H

    JamiiForums Tanzania Hivi kuna wanawake wakali na warembo kama Wakinyiramba?

    watakuwa ni wasukuma!
Back
Top Bottom